Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 3,062
- 3,620
Orayt. Act like a man!!
Mwanaume hapewi hela na mwanamke. Mwanaume haendi kuendeleza kwa wakwe, tena wakwe wasio rasmi. Mwanaume hapelekeshwi hovyo na mwanamke.
Kama umenielewa then tafakari na chukua hatua ya kiume.
mm ni mvulana nina mchumba wangu huu ni mwaka wa 4 yy ni mfanyakaz serikalini mm nimehitimu diploma ya ualimu 2013 may nimefaulu na nasubilia post. mwaka jana mwez january alipata safari kikazi hivyo aliniomba aniachie atm yake ili niweze kuwahudumia mzaz wake kwakuwa baba mkwe amefariki mwez mmoja baada ya mm kwenda kujitambulisha na nkahaidi kupeleka mahari mwaka huu. nilimkubalia aniachie wakati huo mm nilikuwa mwaka wa mwisho chuon2013 pia aliniomba nimhamishe mdogo wake aliyekuwa anasoma shule ya kata kijijin kwao nimtafutie private hapa mjin arusha na nkafanya hivyo nilipo maliza chuo may 2013 nilirudi kukaa na shemeji yangu huku akiendelea na masomo yake nami naendelea kumfundisha wakati wa jion na kutoa huduma stahiki kwa mama mkwe kijijin na mdogo wake hapa arusha kumbuka nimevunja mkataba wa kufana kaz tabora nilipokuwa nafanyakaz awali kabla sijaenda chuo na tulikubaliana na mwajir wangu nikimariza chuo nitaenda kuendelea kufundisha wakati na subiri post lakn kwakuwa mchumba angu kaniomba nikae na mdogo wake na kuisaidia familia yake kiujumla kwa mshahar aliouacha lak 5. mwaka jana mwez wa 8 alituma dollar 900 nizichenji ili niziweke kwenye akauti yake ya posta. mm nili mwambia mdogo wake kuwa hiyo hela itakuwa mkomboz kwani maisha tuliyokuwa tunaishi kutokana na kuniachia majukumu mazito kila mwez nilikuwa namtumia mama mkwe hela bado hatujala dogo kila mwez hela ya usafiri wa busi la shule hela yake ya matumizi hatujalipa michsngo ya umeme maji taka usafi pango kwenye nyumba ya kupanga kwakweli nilikuwa navuja jasho mm sina kaz nilizunguka kutafuta ajira nikachoka nikaamua nikae tu.Na mwez wa tisa mwaka jana tulikwenda na huyo shemeji yangu kijijin kwenda kuhitimisha msiba wa baba mkwe ni shughuri iliyoambatanisha na sherehe za kimila na ujenz wa makaburi 11 Mawili tulijenga kwa marumaru mm na ndiye nilikuwa msimamiz mkuu badala ya mchumba angu kwan kwao mwrnye uwezo ni yy hivyo shughur nzima ilinighari 1.2m hivyo hata zile dollars alizotuma nilizitumia kwenye shughuri hiyo na nilikuwa namshirikisha mdogo wake kala hatua ya matumizi ya pesa ya kila mwez na kuweka kimaandidhi. sasa yy anarudi mwez ujao toka huko ulaya. jana niliamua kumuweka waz juu ya zile dollar alizoniagiza niziweke banki na mm nimetumia kwan bila zile shughuri ilikuwa pevu kwao kwan ndugu zake wote walikuwa wananitozama mm nilioachiwa pesa za nduguyo. cha ajabu ananitaka akirud azikute pesa zake bank haijalishi nimetumia kwenye shughuri ya kwao au la na kasitisha mawasiliano na hataki tena nakampokee airpot dar. jaman nifanyeje
pole mvulana..andaa ripoti ya mapato na matumizi and hakikisha unafungua makabati vizuri and yanabalance.mwisho ujiandae kwa presentation.
Mvulana ulikuwa unatafutiwa sababu ya kumwagwa tu, hiyo hela haiwezi kuwa sababu ya mahusiano kuharibika ukizingatia umetumia kwa matumizi yanayoeleweka. Mwenzako kashapata exposure ya ulaya wewe bado una vumbi la sikonge, watu wanakujadili wewe sana bila kuangalia upande wa pili kama alikupenda na mapungufu yote hayo naamini hata hili nalo lingepita tu.
Ila jipange uache uvulana its never too late
christine ibrahim nadhani in fairness tumpe benefit of doubtasingeenda angeonekana ana roho mbaya, hajali
angeenda bila kuchangia kitu napo ingekuwa kazi asingeeleweka!!!!
ameenda kwa kutumia hela za swittie nayo balaaa!!!
binadam hatuna jema!!
swali kwa mtoa mada
mwanamke wako alikuwa anajua kuwa kuna shughuli hyo na kuwa huko kijijini hawana uwezo wanantegemea yy?
n if so alikupa maelezo yyt kuhusiana na hilo?
if no y hukumuuliza b4 hujaenda huko kijijini
mvulana si unona hata alivyoandika bila paragrafu rafiki...... neambaso mbe ...1