Naombeni ushauri wana jf.

Katani

Member
Jan 23, 2012
30
2
Nina mpenzi wangu ninae mpenda sana, alisafiri kwenda Moro alipofika turiwasiliana vizuri tu.kesho yake jioni kuanzi saa 2 mpaka saa 7 usiku simu aikupatikana nilipo mtafuta asubui simu iliita na akapoke mwanaume na kuniuliza mi ni nani... Nilichoka cjui huyu bint nianzie wapi kumuhoji..
 
We mpigie baadae umuulize maswali yote yaliyo moyoni mwako alaf utajua cha kufanya.
 
Sasa mbona unajump kwenye conclusion kaka? Kama huyo bi dada aliibiwa simu je? Kwa hiyo ulivyoambiwa wee nani ukakata simu kwa kuogopa? Fanya uchunguzi kwanza usianze kupagawa mapema mapema..!
 
wala usiwe na presha muulize maswali vizuri tuu akisharudi hamna presha...kama kweli anacheat basi usiwe tabu unamwambia tuachane basi au ikiwezekana mwambie basi lets have a 3sum na huyo jamaa wa moro since u like both our d*cks
 
Unaibiwa shituka ..........nakutania bana huyo lazima kapoteza/kaibiwa simu au unamhisi kacheat na jamaa
 
mbona unaonekana unamwogopa huyo mpenz wako hcho ni kitu cha kuomba ushauri si uwe kama mwanaume it seemz unamtetemekea ile mbaya
 
Kwahiyo usaidiwe list ya maswali ya kumuuliza?

Haya. . . . .
1. Piga namba yake/kutana nae kama amesharudi.
2. Mjulie hali na habari ya safari.
3. Muulize iwapo simu yake anayo yeye.
NDIO (muulize ilikuwaje siku ile ambayo hakuwa akipatikana). . HAPANA(muulize iko wapi/ilikuwa wapi).
4. Kutegemea majibu ya no. 3 muulize iweje simu yake ikapokelewa na mtu mwingine tena mwanaume.

Utetezi wake utasaidia kukuongezea maswali ama kukupa amani.
 
duh,nimeipenda
 
Sasa mbona unajump kwenye conclusion kaka? Kama huyo bi dada aliibiwa simu je? Kwa hiyo ulivyoambiwa wee nani ukakata simu kwa kuogopa? Fanya uchunguzi kwanza usianze kupagawa mapema mapema..!

Ndo ujue sasa Mapenzi yanatia hofu moyoni kuliko sura ya simba.
 
We mpigie baadae umuulize maswali yote yaliyo moyoni mwako alaf utajua cha kufanya.
Lazima atadanganywa. Si ushauri mzuri.

Sasa mbona unajump kwenye conclusion kaka? Kama huyo bi dada aliibiwa simu je? Kwa hiyo ulivyoambiwa wee nani ukakata simu kwa kuogopa? Fanya uchunguzi kwanza usianze kupagawa mapema mapema..!
Si ushauri mzuri, ungekuwa wewe usingefanya hivyo.

wala usiwe na presha muulize maswali vizuri tuu akisharudi hamna presha...kama kweli anacheat basi usiwe tabu unamwambia tuachane basi au ikiwezekana mwambie basi lets have a 3sum na huyo jamaa wa moro since u like both our d*cks
Ushauri potofu kabisa

Unaibiwa shituka ..........nakutania bana huyo lazima kapoteza/kaibiwa simu au unamhisi kacheat na jamaa
Ulianza vizuri, umemalizia vibaya. Ukweli ni kuwa anaibiwa sana tu.

loh. . . . . . . . !
Eish! Ndo ushauri gani huu sasa?

Kwahiyo usaidiwe list ya maswali ya kumuuliza?

Haya. . . . .
1. Piga namba yake/kutana nae kama amesharudi.
2. Mjulie hali na habari ya safari.
3. Muulize iwapo simu yake anayo yeye.
NDIO (muulize ilikuwaje siku ile ambayo hakuwa akipatikana). . HAPANA(muulize iko wapi/ilikuwa wapi).
4. Kutegemea majibu ya no. 3 muulize iweje simu yake ikapokelewa na mtu mwingine tena mwanaume.

Utetezi wake utasaidia kukuongezea maswali ama kukupa amani.
Sawa japokuwa lazima jamaa atadanganywa tu....

Acha mapepe wewe , kuwa na subra .
Nani mapepe? Aliyeomba ushauri au wewe uliyemshauri?

Aaaah! soma alama za nyakati! chukua hatua, kabang! lol
Bingo!!!! Nimekuzawadia na LIKE. Napenda shauri za namna hii. hamna longolongo wala kupakana mafuta kwa migongo ya chupa.
 
Shukuru Mungu kama hajatumia tiGo
Alafu msisitize swali la condom kama alikumbuka ataingia mwenyewe kwenye king
 
huyo mwanamke anakudharau na inawezekana siku hiyo baada ya kupewa mambo alidata mpaka akamwambia apokee simu yako
 
Nina mpenzi wangu ninae mpenda sana, alisafiri kwenda Moro alipofika turiwasiliana vizuri tu.kesho yake jioni kuanzi saa 2 mpaka saa 7 usiku simu aikupatikana nilipo mtafuta asubui simu iliita na akapoke mwanaume na kuniuliza mi ni nani... Nilichoka cjui huyu bint nianzie wapi kumuhoji..

Kama bado yupo Morogoro you shoul make a suprise visit na majibu yote utayapata.
 
Nina mpenzi wangu ninae mpenda sana, alisafiri kwenda Moro alipofika turiwasiliana vizuri tu.kesho yake jioni kuanzi saa 2 mpaka saa 7 usiku simu aikupatikana nilipo mtafuta asubui simu iliita na akapoke mwanaume na kuniuliza mi ni nani... Nilichoka cjui huyu bint nianzie wapi kumuhoji..
Kaka naomba nikufundishe kitu kimoja tu, katika mapenzi kitu kikubwa ni kujiamini na ukiweza hili basi utamwamini mwenzio, it seems hamjawah kuwa apart thts normal, halaf wapenzi wasiojiamini huwa wanatabia yakuunganisha mawazo yao kwa vitu wanavyowaza na kujump inti conclusion, wewe ni mwanaume jiamini ili umwamini na mwenzio, mpigie simu muulize yote usikie jibu lake then uamue usiamue kabla hujamsikiliza, usijali kama anakupenda hawezi kukusaliti unless unauhakika na unamjua hajatulia
 
mna muda gani kwenye uhusiano wenu?
Nina mpenzi wangu ninae mpenda sana, alisafiri kwenda Moro alipofika turiwasiliana vizuri tu.kesho yake jioni kuanzi saa 2 mpaka saa 7 usiku simu aikupatikana nilipo mtafuta asubui simu iliita na akapoke mwanaume na kuniuliza mi ni nani... Nilichoka cjui huyu bint nianzie wapi kumuhoji..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom