Crystal field theory
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 953
- 413
Tarehe 25/1/2024 tutakaa kikao Cha familia na ndugu wote, Sasa je huyu mwanamke anashindwa kuwa muwazi kwa ndugu sake kwa anayonitende je suluhu ya hili jambo nimuache ama nifanyeje maana uhalisia ndio huo naombeni ushauri ndugu zangu.
Unasubiri kuwekewa sumu ufe? Ameshasema hakutaki na Hana tena hisia na wewe, wewe ni kipi tena unasubiriaHabari ya asubuhi wa Tanzania wenzangu na Africa kwa ujumla pamoja.
Nina changamoto baada ya kumkuta mke wangu anamawasiliano na mwanaume mwingine na tayari wapo kwenye mahusiano(hajawahi kuzini nae ila charting zao ni za romantic) maana yupo nyumbani kwetu Mimi nipo kikazi sehemu na Huwa narudi baada ya miezi miwili na huyo mwanaume pia yupo mbali.
Kwenye hili mke wangu alisema mume wangu upendo kwako umeisha hasta tendo la ndoa Hana hisia na Mimi kwakudai nilimwacha mpweke akaruhusu mahusiano mengine Saba u ya umbali.
Nilifanya subra kumpa nasaha aweze kuacha nae na pia muhusika nilimpigia simu akasema mkewe alimwambia kuwa ameachika, nikamwambia kuwa hajaachika aachane na mke wangu akaomba msamaha yakawa yameisha.
Ila kadiri siku zinavoenda naona simu ya mke wangu kaweka password hataki niiguse, na maneno ya kejeli kuwa Mimi nilishakwambia uniache upendo kwako umeisha, mume wangu nifulani na sio wewe. Kiukweli niliumia saana kama vile nimepata msiba.
Nikawajulisha ndugu sake kuwa mtoto wenu amepata mwanaume mwingine na anataka kuolewa Mimi Hana mapenzi tena kwangu, mke wangu akajibu kuwa Mimi ndo nimesababisha aingie huko na sio kwamba anataka kuolewa, na wakati tayari Mimi ananitolea maneno mazito kuwa sio mumewake.
Tarehe 25/1/2024 tutakaa kikao Cha familia na ndugu wote, Sasa je huyu mwanamke anashindwa kuwa muwazi kwa ndugu sake kwa anayonitende je suluhu ya hili jambo nimuache ama nifanyeje maana uhalisia ndio huo naombeni ushauri ndugu zangu.
MBARIKIWE
Pole sana Mkuu wa haya yanayokusibu,Habari ya asubuhi wa Tanzania wenzangu na Africa kwa ujumla pamoja.

KATAA NDOANina changamoto baada ya kumkuta mke wangu anamawasiliano na mwanaume mwingine na tayari wapo kwenye mahusiano(hajawahi kuzini nae ila charting zao ni za romantic) maana yupo nyumbani kwetu Mimi nipo kikazi sehemu na Huwa narudi baada ya miezi miwili na huyo mwanaume pia yupo mbali.
Kwenye hili mke wangu alisema mume wangu upendo kwako umeisha hasta tendo la ndoa Hana hisia na Mimi kwakudai nilimwacha mpweke akaruhusu mahusiano mengine Saba u ya umbali.
Pole sana Mkuu ulimkosea kuchagua mkeHabari ya asubuhi wa Tanzania wenzangu na Africa kwa ujumla pamoja.
Nina changamoto baada ya kumkuta mke wangu anamawasiliano na mwanaume mwingine na tayari wapo kwenye mahusiano(hajawahi kuzini nae ila charting zao ni za romantic) maana yupo nyumbani kwetu Mimi nipo kikazi sehemu na Huwa narudi baada ya miezi miwili na huyo mwanaume pia yupo mbali.
Kwenye hili mke wangu alisema mume wangu upendo kwako umeisha hasta tendo la ndoa Hana hisia na Mimi kwakudai nilimwacha mpweke akaruhusu mahusiano mengine Saba u ya umbali.
Nilifanya subra kumpa nasaha aweze kuacha nae na pia muhusika nilimpigia simu akasema mkewe alimwambia kuwa ameachika, nikamwambia kuwa hajaachika aachane na mke wangu akaomba msamaha yakawa yameisha.
Ila kadiri siku zinavoenda naona simu ya mke wangu kaweka password hataki niiguse, na maneno ya kejeli kuwa Mimi nilishakwambia uniache upendo kwako umeisha, mume wangu nifulani na sio wewe. Kiukweli niliumia saana kama vile nimepata msiba.
Nikawajulisha ndugu sake kuwa mtoto wenu amepata mwanaume mwingine na anataka kuolewa Mimi Hana mapenzi tena kwangu, mke wangu akajibu kuwa Mimi ndo nimesababisha aingie huko na sio kwamba anataka kuolewa, na wakati tayari Mimi ananitolea maneno mazito kuwa sio mumewake.
Tarehe 25/1/2024 tutakaa kikao Cha familia na ndugu wote, Sasa je huyu mwanamke anashindwa kuwa muwazi kwa ndugu sake kwa anayonitende je suluhu ya hili jambo nimuache ama nifanyeje maana uhalisia ndio huo naombeni ushauri ndugu zangu.
MBARIKIWE
Wale watu unaosikia wameua kwenye vyombo vya habari sababu ni kama hizi mkuu,wewe sio kama wewe ni mpole kivile,maisha yako very tight unakuta mtu unapambana at the end of day mtu anakujibu majibu kama hayo.ili kujielusha na kifo Cha ujanani achana naye ,vinginevyo atakuwekea hata sumuHabari ya asubuhi wa Tanzania wenzangu na Africa kwa ujumla pamoja.
Nina changamoto baada ya kumkuta mke wangu anamawasiliano na mwanaume mwingine na tayari wapo kwenye mahusiano(hajawahi kuzini nae ila charting zao ni za romantic) maana yupo nyumbani kwetu Mimi nipo kikazi sehemu na Huwa narudi baada ya miezi miwili na huyo mwanaume pia yupo mbali.
Habari ya asubuhi wa Tanzania wenzangu na Africa kwa ujumla pamoja.