Naombeni ushauri wakuu,Its serious.

Huna mcmamo wewe embu jichunguze unakasoro gan kimaumbile nakitabia yawezekana unakibamia naunagubu maana haiwezekan ktk mademu wote wewe2 ndio wakuachwa
soma nilichokiandika vizuri mkuu maana inaonekana unaropoka tu bila kuelewa
 
Fuata moyo wako unasema nini kwanza alaf pia unatakiww kujua ni yupi ana mapenz ya kwel kwako
 
Asante sana kwa ushauri
 
Alafu kila mwenye post aina ya mleta mada huwa amesoma UDSM mh mnanitia shaka
 
Nimekuelewa mkuu povu lann kwan nikuulize ulishawah kumpa kibut dem hata mmoja kat yauliyowah kuwa nao
Teh teh teh....mademu wote wanamtema yeye_bado hashtuki tu.....vilaza bhana..
 
Mwanaume unalia kuachana na demu wa kwanza!kwel japo ngono ni dhambi ila kuianza uzeeni nayo ni hatar
 
Yani kademu mwaka wa kwanza chuo unakapigia hesabu za kuoa??? Hivi kuoa ni rahisi kama unavyotamka??
Chukua mda mkuu usikimbilie kuoa na wala usitongoze demu kwa gia ya kuoa. Utampata atakaye kufaa tu.
Videmu vya chuo vingi huwa vinasaidia kusogeza sikuu tu masomo yaishe.
 
Mwanaume unalia kuachana na demu wa kwanza!kwel japo ngono ni dhambi ila kuianza uzewni nayo ni hatar
Acha2 hii dhambi tuihararishe kuwa sio dhambi, hiz mishe ukizizoea angali bado kijana haiwez kuja kukusumbua ukiwa mtu mzima
 
Tena ukitaka ufurahie zaid ukapate ambako hakana mizinga ya heavy weight utajichapia mwisho wacku unamaliza chuo kila mtu anajua ustarabu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…