Joker22 Member Joined Jul 10, 2019 Posts 5 Reaction score 0 Jul 20, 2019 #1 Mimi nina uwezo wa kuandika hadithi nzuri, ninachohitaji ni jinsi ya kuwakilisha kazi zangu kwa wasomamaji na kingine ni mwandishi wa hadithi ananufaika vipi na kazi zake.nahitaji msaada wenu tafadhari.
Mimi nina uwezo wa kuandika hadithi nzuri, ninachohitaji ni jinsi ya kuwakilisha kazi zangu kwa wasomamaji na kingine ni mwandishi wa hadithi ananufaika vipi na kazi zake.nahitaji msaada wenu tafadhari.