iyo biashara ya mnadani ina changamoto na ni ngumu sio rahisi kama mnavyoongea na kuandika hapa (kama unabisha fanya reserch kwanza kwenye iyi minada)
Moja ya changamoto ni kutumia muda mwingi na gharama nyingi ndogo ndogo, minada mingi sana wanaenda watu local ambao wananunua vitu bei chieo saana, 80% ya wauzaji wa minadani huwa wanauza vitu bei cheap saana na wanunuzi wamezoea hivyo, mfano nguo zao za kike nyingi ni kati ya 500 - 1500 unaweza kuwa na nguo nzuri saana za shilingi 2000 - 3000 watu wakakupita tu, pia wamezoea kuchagua saana wanaamini kwenye bidhaa nyingi , mfano ukijaza meza viatu watajaa kuchagua saana hata kama vibaya lakini ukiwa na peak zako 30 wanaweza (wateja washachagua saana) kukuoita wakiamini ushauza saana vimebaki vya mwisho mwisho, wengi sana minadani huwa wanauza bidhaa za chini saana (malonya)
bythe way huu ni ushahuri wangu na sio sheria.
mimi nakushahuri chukua pochi za kike mixer mtumba na za dukani uza na kukopesha ndani ya mwezi mmoja utakuja kunishukuru au tengeneza kibanda cha kutengeneza kucha na kupaka rangi za gel kama una fridge kubwa kidogo tafuta kijana tengeneza ice cream mpe auze mpangie auze zaid ya 200 per day ambayo ni sawa na 20,000 kwa siku, 140,000 kwa wiki na 560,000 kwa mwezi, mshahara wa huyo kijana ni ni 50,000 kwa mezi fanya na material ni 100,000 (makadirio ya juu). ukiweza kupata vijana wa 3 (piga hesabu uone kwa mezi) baadae utakuja kunitafuta nikuoe ili tuunganishe biashara tuwe matajiri, ha ha ha haa (Jocking)
nimeandika kidogo biashara zipo nyingi saana na za faida mnooo