Naombeni ushauri wa biashara

Naombeni ushauri wa biashara

Nenda kariakoo chukua viatu vya wadada vya bei ya jumla 3200-3500. Chukua pea 50. Nenda Mkuranga mnadani, kibaha, Mlandizi, Chalinze n.k. Uza 5000-6000 kwa kila kiatu.
Uliza ratiba ya minada kila kijiji. Utapiga hela hadi ujione Freemason.
Hii ilikubali nadhan imnamlipa vizur Sana binafs ningekua dar ningejarbu hii
 
Kwakweli ngoja njaribuu kufatilia... mimi ni kijana wa kike lkn
Tena mwanamke ndio utauza vikookoro vyote vyq urembo. Cheni za mia tano kariakoo wewe unaenda kuwauzia elfu 2. Mtaji mdogo tu faida nusu kwa nusu. Tembele minadani uone wanawake wa kichaga wanavyopambana. Kikubwa ni kukuza mtaji ili ufanye biashara ya ndoto yako.
 
Nashukuru aisee
 
Biashara ya urwmbo inalipa na inafanyika kwa haraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom