Ni kwelUsije kuwa unachanganya nilichokiandika post #15,nilichosema usirubuniwe na watu wanaouza madawa ya kienyeji kutumia dawa zao bila kujua tatizo lako limefikia stage gani nenda kwenye matibabu ya kisasa utapona,obviously ugonjwa wowote ukiuzembea utakuuwa so usiseme nimekutisha wahi hospital.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Ndo nn hiiNenda Hosp ... kwa hatua yako Hemorrhoidectomy ndio suluhisho pekee.
Hao watu achana nao na imani zao potofu, vitisho tu hivyo.Kuna mtu kanitisha kwel, eti ukifanyiwa opereshen huponi et tatizo linatibiwa kiinyeji
Hao watu achana nao na imani zao potofu, vitisho tu hivyo.
Hao watu achana nao na imani zao potofu, vitisho tu hivyo.
Surgery yake inanitisha sana ,eti unaweza bleed kwa wiki mbili mfululizo?Hao watu achana nao na imani zao potofu, vitisho tu hivyo.
Umefanikiwa kupata tiba? Linanisumbua na mm hili tatizoKama kuna mtihani naupitia ni huu
Tatizo hilo sio kubwa. Nenda kituo chochote cha afya utapewa maelekezo dawa gani utumie kulingana na ukubwa wa tatizo, kama hawana watakuandikai utatafuta kwenye famasi Yoyote.
Ukichelewa uvimbe utakuwa mkubwa. Ukipasuka itabidi upasuaji.
Pia punguza kula nyama mkuu mmeng,enyo wake unachukua muda tumboni, kula mboga mboga ,matunda,punguza Wanga.
Usisahau na jwisi ya ukwaju inasaidia sana kumengenya chakula kwa haraka zaidi ,pia kunywa maji mengi uwezavyo.
Kufanya hivyo kutapunguza muda wa kukaa chooni. Kumbuka unavyotumia muda mwingi na pressure kubwa ndio tatizo linazidi kuwa kubwa.
Hospital wanatoa dawa unaweza pona kabisa, lakini usipofata utaratibu huo hapo juu tatizo linaweza kujirudia tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kuna mtihani naupitia ni huu
I went to the hospital last month dear ,though you seem to be very pomposous at some moments.Anyway let me give up my deserved dignity and respect in favours of my immediate recovery,I met a doctor ,I narrated my problem finally I was given anti hermorroid jelly to apply internally and outside to the affected part. With all these including starched meals avoidance ,I declare minimal improvement.Nafikiri hauko serious. Tangu mwezi wa pili unalalamika unaumwa. Umeshauriwa kuwa linatibika. Na kwamba ukifanya masihara ni tatizo litaleta madhara makubwa zaidi. Tulitarajia mwezi wa nne huu tunaenda utupe mrejesho wa hospitali pengine. Wewe umekazana kuwa ni mtihani unapita. Kwanini unataka sana huruma ya mitandaoni badala ya kupambania afya yako? Self pity or public sympathy will not heal you. It's one thing to be sick and we are all sorry for you. But it is another thing to keep wailing here and not seek experr medical intervention!! Grow up.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana
Naendelea na dawa ya kupaka
Hiyo dawa inaitwaje mkuu?Naendelea na dawa ya kupaka
Anti hermorroidHiyo dawa inaitwaje mkuu?
Mkuu ungevuta kwanza pumzi kidogo kabla ya kumuattack mtoa post, mbona hiyo comment unayoiongelea ni ya February?Nafikiri hauko serious. Tangu mwezi wa pili unalalamika unaumwa. Umeshauriwa kuwa linatibika. Na kwamba ukifanya masihara ni tatizo litaleta madhara makubwa zaidi. Tulitarajia mwezi wa nne huu tunaenda utupe mrejesho wa hospitali pengine. Wewe umekazana kuwa ni mtihani unapita. Kwanini unataka sana huruma ya mitandaoni badala ya kupambania afya yako? Self pity or public sympathy will not heal you. It's one thing to be sick and we are all sorry for you. But it is another thing to keep wailing here and not seek experr medical intervention!! Grow up.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ndo walimwengu!achana naeMkuu ungevuta kwanza pumzi kidogo kabla ya kumuattack mtoa post, mbona hiyo comment unayoiongelea ni ya February?
Hawa ndo walimwengu!achana naeMkuu ungevuta kwanza pumzi kidogo kabla ya kumuattack mtoa post, mbona hiyo comment unayoiongelea ni ya February?