Doppelganger
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,858
- 759
Nilishakuambia huyo na Joyce huwezi kuwatenganisha, hebu tuimarishe penzi letu, kuanzia leo nakuomba usimuwaze kichwan mwako maana atakusababishia stress zisizo na maanaNna boyfriend wangu nampenda sana tatzo ni kwamba siku hizi simuelewi kabisaa kwani amekua busy kupita kiasi inafikia kipindi wiki nzima yeye hanitafuti kwenye simu mpaka nimuanze mimi nikipiga simu hapokei badae akinipigia ananambia kitufe cha kupokelea kimeharibika na hivi sasa mwezi umepita sasa sijaonana nae.Nashindwa kumuelewa kama ni aje
...mimi nikipiga simu hapokei badae akinipigia ananambia kitufe cha kupokelea kimeharibika
Nna boyfriend wangu nampenda sana tatzo ni kwamba siku hizi simuelewi kabisaa kwani amekua busy kupita kiasi inafikia kipindi wiki nzima yeye hanitafuti kwenye simu mpaka nimuanze mimi nikipiga simu hapokei badae akinipigia ananambia kitufe cha kupokelea kimeharibika na hivi sasa mwezi umepita sasa sijaonana nae.Nashindwa kumuelewa kama ni aje