Jifunze kuwa na kiasi, hata upendo uwe kwa kiasi.
Halafu hebu badili msitizamo wako kuhusu K.
Kwa mwanamke K ni chakula maalumu apewacho mwanaume yoyote amfurahishaye na kupendezwa naye, humpa kama fadhila, shukrani au pongezi.
Lakini wanaume tunaamini K ni chakula maalumu anachostahili kupewa mwanaume mmoja tu ktk maisha yake yote hapa duniani. Kitu ambacho kwa mwanamke hakiwezekani.
Hivyo ukiingia ktk mahusiano muda wote mchukulie kama uliyenaye ni mke wa mtu hivyo siku asipokuwepo kwako jua ndo kaenda kwa mumewe.
Jione wewe ndiye mwizi siku zote hautasumbuliwa na wivu.