Naombeni ushauri nimesalitiwa

Naombeni ushauri nimesalitiwa

jjs2017

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
2,027
Reaction score
4,308
Poleni na majukumu ya hapa na pale..

Mimi ni mwanaume nilie kumbana na adha ya usaliti baada ya mchumba wangu kunisaliti na mtu mwingine. Cha ajabu nilimpenda sana ilabaada ya kunisaliti ile kiu ya upendo wangu kwa mwanamke yeyote ile imekata kabisa yani kila nikikaa najikuta natukana tu wanawake, na mda mwingine nasema hata nikiwa na mwanamke mwingine sitompenda nikujipigia zangu na kusepa.

Yani hii roho ya chuki inaniandama sana juu ya wanawake hata mwanamke akipita mbele yangu najikuta tuu nasema hawa ni walewale nakuanza kumchukia bure.

Naombeni ushauri nifanye nini kuepuka hali hii
 
FB_IMG_16511437787359387.jpg
 
Mkuu hiyo ipo sahii..sahivi usihurimie kiumbe..kula na kusepa.

Atapatika boya tu. Wakuvumilia
 
Jifunze kuwa na kiasi, hata upendo uwe kwa kiasi.

Halafu hebu badili msitizamo wako kuhusu K.

Kwa mwanamke K ni chakula maalumu apewacho mwanaume yoyote amfurahishaye na kupendezwa naye, humpa kama fadhila, shukrani au pongezi.

Lakini wanaume tunaamini K ni chakula maalumu anachostahili kupewa mwanaume mmoja tu ktk maisha yake yote hapa duniani. Kitu ambacho kwa mwanamke hakiwezekani.

Hivyo ukiingia ktk mahusiano muda wote mchukulie kama uliyenaye ni mke wa mtu hivyo siku asipokuwepo kwako jua ndo kaenda kwa mumewe.

Jione wewe ndiye mwizi siku zote hautasumbuliwa na wivu.
 
Hupaswi kumependa mwanamke bali mtamani na hamu ikiisha kama vp piga chini tafuta mzigo mwingine utakaoutamani, mwanaume hapendi bali anatamani ukiona unampenda mwanamke basi utatendwa bali mwanamke ndiye anampenda mwanaume kupitia swaga kisha unamlainisha akikuelewa atakupenda asipokielewa anatemana na wewe mwanaume ila wewe mwanaume ukimpenda mwanamke umejipalia makaa lazima akidump tu kumbuka mwanamke anatongozwa akizielewa swaga ndipo anampenda mwanaume ila mwanaume suala la kumpenda mwanamke linachukua muda mrefu sana kujiridhisha
 
Hatari sana mademu Kama wewe hamna bikra then Mtu anawalilia sijui mnatumiaga Ndumba gani ila Mtu Kama Mimi hamnipati
Hujanasa tu wala sio ndumba achana na utamu wa k wewe, ndo ukute na mwenye k anajielewa upstairs arooooo
 
Poleni na majukumu ya hapa na pale..

Mimi ni mwanaume nilie kumbana na adha ya usaliti baada ya mchumba wangu kunisaliti na mtu mwingine, cha ajabu nilimpenda sana ilabaada ya kunisaliti ile kiu ya upendo wangu kwa mwanamke yeyote ile imekata kabisa yani kila nikikaa najikuta natukana tuu wanawake, na mda mwingine nasema hata nikiwa na mwanamke mwingine sito mpenda nikujipigia zangu na kusepa.. yani hii roho ya chuki inaniandama sana juu ya wanawake hata mwanamke akipita mbele yangu najikuta tuu nasema hawa ni wale wale nakuanza kumchukia bure.. naombeni ushauri nifanye nini kuepuka hali hii
Mtu kakusalitu umeshindwa kumdedisha
 
Back
Top Bottom