Hechinodemata
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,487
- 3,371
thankxInabidi sasa serikali itangaze hali ya hatari.
Kama tayari umeacha ni vizuri sana, ila kitu cha msingi fanya mazoezi,kula chakula kizuri na jiamini.
NB:Usijaribu kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume utaongeza tatizo.
nashukur kwa ushauriPole sana ndugu, ila sidhani kama kuna dawa yakutibu tatizo hilo zaidi ya wewe mwenyewe kutashauri nakuamua kuacha kabisa,
Zipo njia zakufuata ambazo zinaweza kukusaidia kuacha nazo ni:
Pendelea kujichanganya na watu,
Fanya mazoezi kwa sana
Kunywa maji mengi
Kula vyakula kama karanga nk
Mboga za majani usisahau katika mlo wako wa kila siku
nimekupata kaka nafarijika kwa ushaur wakoPole sana kaka, kula vyakula vya asili vya kisukuma uone kama network itakata tena, mimi pia niliathirika na punyeto ila yangu ilikua more Advanced maana nilipiga bila sabuni wala kitu chcht ndo maana nacharaza magori ya kutosha tu, nimepractice tangu 2003 mpaka leo lkn nikikamata mke lazma aombe pooo...
Kula msos asili km
ugal dona,
mihogo mchemsho
Mbogamboga
Matunda
Shushia konyagi unapoingia kwenye ligi uone utakavyotiririka[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ndo mana nikaileta hii mada hapa nipate msaada, wenzangu munawezaje na mimi nashindwajemhm...mie mbona nashindwa kuelewa kitu kuhusu punyeto....mbona mie napiga nyeto mwaka wa 20 sasa lakini nikiingia kwa game nikimaliza goli ndani ya dakika tano ngoma inasimama tena...nyie wezangu inakuwaje mwashindwa kurudia mpaka masaa yapite...au wee mke wako sio mzuri?
AsanteInabidi sasa serikali itangaze hali ya hatari.
Kama tayari umeacha ni vizuri sana, ila kitu cha msingi fanya mazoezi,kula chakula kizuri na jiamini.
NB:Usijaribu kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume utaongeza tatizo.
Ndo mana nikaileta hii mada hapa nipate msaada, wenzangu munawezaje na mimi nashindwaje
Ushauri mzuri ila hiyo point ya 'nyagi' ipotezee,kumbuka za kuambiwa...nimekupata kaka nafarijika kwa ushaur wako