Habari zenu wadau,
Mimi nlikuwa na mpenzi wangu ambaye tuliweza kuwa katika mahusiano kwa muda wa miaka mitatu mpaka tukafikia hatua ya kutambulishana ila cha kushangaza baada utambulisho huo nikiwa katika maandalizi ya kupeleka mahari alihamishwa kituo cha kazi na kufika kituo kipya akawa na mahusiano na jamaa mwingine wa pale ofisini na nilipofuatilia nikagundua alikuwa na mimba ya huyo jamaa ya mwezi mmoja na baadae walichukuana kimyakimya na wamebahatika kupata mtoto wa kike.
Kwa namna tulivyoishi nmeshindwa kumsahau kabisa nae sasa anaendele kunisumbua akidai anataka aachane na mme wake turudiane na ndugu zake walea kuniita shemeji yao mpaka leo.
Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili nimsahau kabisa