Naombeni ushauri nifanye nini

Mahusiano/Mapenzi kama ni magumu kwako, basi achana nayo, fanya mambo mengine. Komaa kusaka 'uchawi wa kizungu' kwanza then systematically mambo yatakaa mkao! Otherwise endelea kuact 'ungoswe' ili uendelee kuwa 'mzembe'.

Kifo cha bi'mkubwa, TIME will heal you! chill

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom