Binman
Member
- Jul 17, 2016
- 68
- 30
Habari zenu wakuu... Eehe bhana kuna changamoto moja inanikabili.. Ni kuhusu ule mkopo wanaotoa kwa wale wa diploma za CLINICAL MEDICINE. Ishu iko hvii unaingia mkataba na serikali baada ya kumaliza kusoma unapangiwa kazi katika maeneo yao ya kanda ya ziwa..
SWALI LANGU NI...
Kwa wale wenye ndoto za kujiendeleza baadae naona kama hiyo ni changamoto kwao maana kutoka huko ulipopangiwa na kwenda kusoma ni ishuu sana...
Na la pili... Hofu yangu ni kwamba maeneo wanayopangwa ni kijijini sana...!!
Naombeni ushauri hiyo pesa yao nichukue au.. Kipi heri kuajiriwa na serikali au kwenda private sector na kufanya kwa mkataba ??