Naombeni ushauri ndugu zangu

uamuzi ni wako broh, mi sizani kama kuna ushauri hapo
 
Wiki 3 ???
Mwanamke akijifungua kawaida kukaa kwa mama ni wiki 1 tu, ikizidi sana wiki 2. .
Kafuate familia yako, muanze kuzibua na masikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…