Naombeni ushauri ndugu zangu

Naombeni ushauri ndugu zangu

fundibaskeli

Member
Joined
Nov 9, 2016
Posts
84
Reaction score
115
Wanajukwaa wenzangu nmepata majaribu mazito katika mwaka huu wa 2016. Ushauri wenu ni muhimu saana...

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26...mjasiriamali na nimejiajiri katika shughuli za software..katika umri miaka 25 sikuwahi kukutana na mwanamke(kugegedana)kwa umri wote huu nlikua nmejitu vzuri kabsa huku marafiki zangu wakinibeza kwamba mimi ni hanithi jogoo wangu hawiki....hii haikunirudisha nyuma nliona nibora kuwa hvi hvi tu mpaka ntakapoooa....

Siku moja wakati nipo katika shughuli zangu alikuja mdada mmoja mzuri saaana, alinivutia, na kunibadilisha kabisa mawazo yangu.ndipo hapo uzalendo ukanishinda ilabidi nijitutumue kumuomba namba za simu..binti bila hiya akanipatia..nakumbuka ilikua tarehe 23/07/2016 binti hyu nlimtongoza na kukubaliwa siku hiyo hyo....

Ilipofka tarehe 17/08/2016 nlimtaka binti tugegedane nae binti hakua mchoyo alikuja geto kwangu nkala mzigo bila kinga hku mwenzangu akionekana mzoefu wa mambo hayo na kunipa kila aina ya utundu ila kwakua sikuwahi kufanya kitu cha namna ile nkaona kama napewa mateso huku bao langu moja siku hyo lilinifanya kesho yake kuhisi maumivu sehem zote za mwili.

Ilipita kama week binti akaniuliza nije nkusaidie kufanya usafi?? Nkamwambia njoo, akaja akanifulia akasafisha nyumba kila kitu kikawa kwenye mpangilio.Jion nlipofika hme nlikuta nyumba inapendeza saaana na ikanvutia kias cha kutaka kumuoa kbsaaa...

Yalipita masiku kadhaaa nkajihisi maumivu yamekwisha binti akanambia anataka tugegedane tena...nkakubali tena siku ya pili pia nilimgegeda bila kinga na nlijituma kweli kweli lakin jitihada zangu zote ziliiishia kwenye bao moja pamoja na kujituma kutafta na bao la pili nkachoka nkachilizia njiani...nkajilaza kwenye kochi...

Wakati nmejilaza nkaanza kupekua mkoba wa yule mdada nkaona kuna tishu zko kama nne zimefunika kitu nlivoanza kuzipekua moja baada ya nyingine nkahisi kuna kitu kama kidonge kimefichwa...wakati nmekaribia kukifikia yule mdada aliniwahi akanipokonya....nlianza kuwa namawazo saaana maaana nlihisi kile kidonge kama ARVs..

Alikuja tena nikagegedana nae mwez wa tisa bila kinga tena hapo siku hyo uchi wake ulikua na vitu vya ajabu kama madude meupe meupe huku ukitoa haruf kali jambo ambalo lilinishinda kuendelea na shoo nlipomuuliza ni nini hii?akajibu eti yeye pia hajui...nlimpa pesa ili akapime Ajue shida ni nn...akadai kwamba amepatikana na UTI iliokomaa nkampa pesa za matibabu na siku tamani tena kumgegeda...

Baada ya kuachana nae hapo sikumtaka tena nikawa namkwepa kumbe na yeye alikua anapanga kuachana na mimi..ukaribu ukawa unatoweka taratibu hku simu lukuki za kila wakati zikipungua pia mpaka ikafka hatua tukawa tunawasiliana mara moja kwa siku....

Siku zilivokua zinazidi kwenda nlianza kujihisi kiafya sipo sawa....nlijihisi mchovu,koo kujaaa kohozi,,makalio kuwasha,,lips kuanza kuwasha,,,,mdomo kuwa mchungu...tumbo kujaa gesi na kuuma...kupata maumivu wakati wa haja kubwa.... Ilinipa mawazo saaana....

Siku moja jion yule mdada akanipigia simu akaniambia nimesafiri nipo dar ila nenda kapime UKIMWI mimi ni muathirika....nlishtuka saaaana jambo lililonifanya nsilale...niwe na mawazo
....nikifkiria tena nnavojihisi ndo nachanganyikiwa kabsaa....ilininyima raha ndo kijana nimeanza safar ya maisha nakutana na kitu hicho nliwaza saaana baadae ilinibidi nikubali kwamba nmeathirika...

Kitokana na kuwa maaarufu katika mji nnaofanyia kazi sikutaka kwenda kupima ili nianze dose katika mji wangu ikabidi nihame nije dar kupima na kuanza dose...
Nlifikia kwa rafki yangu wa damu alipokea kwa bashasha nkaanza kumueleza jambo hili...kwakua yeye ni mzoefu wa kugegeda akanambia braza ukimwi hauambikizwi hvo mpka ww upate michubuko na yeye achubuke...akanambia lakin usikonde hapo jiran kuna kampeni ya kupima kwa hiari na majib ni kama dk tano tu unayapata...

Kesho yake mida ya sa saba tukaongozana akanipitisha mbez kwenye baa moja hivi akaninunulia msosi wa maaana nkala nkashiba vzur..tukaendelea na safari ya kwenda kupima....mbele ya stend ya mbez mwisho ndiko amba vpimo vilikua vinachukulia....akanisindikiza nikapimwa.

Majibu yakatoka nikaonekana sina VVU....Nifurahi saaaana....nkauliza hzi dalili ni za nn docta akanambia kapime minyoo na amiba au typhod....ndo dalili zake hzo.....

Nlichukua simu yangu nikiwa mwenye furaha nikampigia simu na kumwambia nmetoka kupima na sina UKIMWI....alionekana kutokua na furaha.akaniuliza inaamaaana hujiskii kuumwa kbsaa nkamwambia dalili nnazoziskia ni za maradhi ya kawaida kanambia doctor...hakuonekana na furaha.....

Tokea nlipomwambia sina ukimwi kila siku ananipigia simu kunitana nimpe pesa za kutumia coz yuko dar...nkamwambia na mm nipo dar akaomba tuonane...jana nkakutana nae kariakoo ananilazmisha tuendeleze penzi na mm siko tayar kurudiana nae...nkamwambia ww una UKIMWI.akanambia hana alikua anantania....

Huyu mwanamke kaning'ang'ania anadai hata nikioa mwanamke mwingine atakuja kunifanyia fujo kila siku....nifanyeje jaman ili asinisumbue
 
acha utoto ww-unaenelea na huyo mazni ili iweje! unaona kabisa hana heshima.pia kaa mda tena ukapime usiridhike na majibu hayo
 
Baada ya miezi mitatu kapime tena maana inawezekana bado Virusi havijazaliana kiasi cha kutosha kuweza kuwa positive kwenye vipimo
 
Yaani hata akili kidogo za kuzaliwa huna ?! Endelea nae Tu akuue !
 
Daktar amenambia kipimo hcho huwa kinatambua virus week tatu za kwanza ila nmeambiwa nirud tarehe 9 JAN
 
Nimesoma mpaka nimekusikitikia. Baada ya miezi mitatu kapime tena na ukikutwa huna UKIMWI nakushauri umpokee Bwana Yesu uokoke na ukae ujitunze mpaka utakapooa. Na huyo utakayeamua kumuoa nenda naye nyote mkapimwe UKIMWI kwanza. Mungu Ana mpango na maisha yako ndiyo maana amekuepusha na kifo. Mpe maisha yako na utaishi maisha ya amani na furaha. Nakuombea mkuu.
 
Kuna vitu vya kutania na sio UKIMWI uyo demu hakufai kabisa jichanje change ata mwili ili usimkumbuke ata jina muuwaji huyo ungekuwa bwege ungeshajitia kitanzi kumbe huna ngoma
 
Mkuu nlikua nmeshawaza kujiua kwa style yoyote ile ila nkaona nipime kwanza....namshukuru muumba niko salama
 
Mdogo wangu ulichungulia mlango wa kaburi. Huyo mwanamke hakufai kabisa. Kweli dunia wakati mwingine ni very unfair, wewe unajitunza for 25yrs wenzio wanakula raha hawapati ukimwi lakini siku unajaribu kula raha ndio unapata majanga. Kama vipi jichunge au kajilipue sehemu nyingine lakini upime kwanza na huyo demu mpya.
 
Una moyo huogopi kufa umeponea kwenye tundu la sindano unajipeleka tena kweli kuna watu vifo mnavifata wenyewe buriani kaka
 
MIAKA HII KUNA KIJANA MWENYE UMRI WA MIAKA 25 ANAWEZA KUWA MPUMBAVU NAMNA HII? KWELI WANAOKUFA NA UKIMWI NI WATU DECENT NA SIO WAHUNI. NINGEJUA UNAPOISHI NINGEKUTAFUTA NIKUTANDIKE VIBOKO!

Wanajukwaa wenzangu nmepata majaribu mazito katika mwaka huu wa 2016. Ushauri wenu ni muhimu saana...

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26...mjasiriamali na nimejiajiri katika shughuli za software..katika umri miaka 25 sikuwahi kukutana na mwanamke(kugegedana)kwa umri wote huu nlikua nmejitu vzuri kabsa huku marafiki zangu wakinibeza kwamba mimi ni hanithi jogoo wangu hawiki....hii haikunirudisha nyuma nliona nibora kuwa hvi hvi tu mpaka ntakapoooa....

Siku moja wakati nipo katika shughuli zangu alikuja mdada mmoja mzuri saaana, alinivutia, na kunibadilisha kabisa mawazo yangu.ndipo hapo uzalendo ukanishinda ilabidi nijitutumue kumuomba namba za simu..binti bila hiya akanipatia..nakumbuka ilikua tarehe 23/07/2016 binti hyu nlimtongoza na kukubaliwa siku hiyo hyo....

Ilipofka tarehe 17/08/2016 nlimtaka binti tugegedane nae binti hakua mchoyo alikuja geto kwangu nkala mzigo bila kinga hku mwenzangu akionekana mzoefu wa mambo hayo na kunipa kila aina ya utundu ila kwakua sikuwahi kufanya kitu cha namna ile nkaona kama napewa mateso huku bao langu moja siku hyo lilinifanya kesho yake kuhisi maumivu sehem zote za mwili.

Ilipita kama week binti akaniuliza nije nkusaidie kufanya usafi?? Nkamwambia njoo, akaja akanifulia akasafisha nyumba kila kitu kikawa kwenye mpangilio.Jion nlipofika hme nlikuta nyumba inapendeza saaana na ikanvutia kias cha kutaka kumuoa kbsaaa...

Yalipita masiku kadhaaa nkajihisi maumivu yamekwisha binti akanambia anataka tugegedane tena...nkakubali tena siku ya pili pia nilimgegeda bila kinga na nlijituma kweli kweli lakin jitihada zangu zote ziliiishia kwenye bao moja pamoja na kujituma kutafta na bao la pili nkachoka nkachilizia njiani...nkajilaza kwenye kochi...

Wakati nmejilaza nkaanza kupekua mkoba wa yule mdada nkaona kuna tishu zko kama nne zimefunika kitu nlivoanza kuzipekua moja baada ya nyingine nkahisi kuna kitu kama kidonge kimefichwa...wakati nmekaribia kukifikia yule mdada aliniwahi akanipokonya....nlianza kuwa namawazo saaana maaana nlihisi kile kidonge kama ARVs..

Alikuja tena nikagegedana nae mwez wa tisa bila kinga tena hapo siku hyo uchi wake ulikua na vitu vya ajabu kama madude meupe meupe huku ukitoa haruf kali jambo ambalo lilinishinda kuendelea na shoo nlipomuuliza ni nini hii?akajibu eti yeye pia hajui...nlimpa pesa ili akapime Ajue shida ni nn...akadai kwamba amepatikana na UTI iliokomaa nkampa pesa za matibabu na siku tamani tena kumgegeda...

Baada ya kuachana nae hapo sikumtaka tena nikawa namkwepa kumbe na yeye alikua anapanga kuachana na mimi..ukaribu ukawa unatoweka taratibu hku simu lukuki za kila wakati zikipungua pia mpaka ikafka hatua tukawa tunawasiliana mara moja kwa siku....

Siku zilivokua zinazidi kwenda nlianza kujihisi kiafya sipo sawa....nlijihisi mchovu,koo kujaaa kohozi,,makalio kuwasha,,lips kuanza kuwasha,,,,mdomo kuwa mchungu...tumbo kujaa gesi na kuuma...kupata maumivu wakati wa haja kubwa.... Ilinipa mawazo saaana....

Siku moja jion yule mdada akanipigia simu akaniambia nimesafiri nipo dar ila nenda kapime UKIMWI mimi ni muathirika....nlishtuka saaaana jambo lililonifanya nsilale...niwe na mawazo
....nikifkiria tena nnavojihisi ndo nachanganyikiwa kabsaa....ilininyima raha ndo kijana nimeanza safar ya maisha nakutana na kitu hicho nliwaza saaana baadae ilinibidi nikubali kwamba nmeathirika...

Kitokana na kuwa maaarufu katika mji nnaofanyia kazi sikutaka kwenda kupima ili nianze dose katika mji wangu ikabidi nihame nije dar kupima na kuanza dose...
Nlifikia kwa rafki yangu wa damu alipokea kwa bashasha nkaanza kumueleza jambo hili...kwakua yeye ni mzoefu wa kugegeda akanambia braza ukimwi hauambikizwi hvo mpka ww upate michubuko na yeye achubuke...akanambia lakin usikonde hapo jiran kuna kampeni ya kupima kwa hiari na majib ni kama dk tano tu unayapata...

Kesho yake mida ya sa saba tukaongozana akanipitisha mbez kwenye baa moja hivi akaninunulia msosi wa maaana nkala nkashiba vzur..tukaendelea na safari ya kwenda kupima....mbele ya stend ya mbez mwisho ndiko amba vpimo vilikua vinachukulia....akanisindikiza nikapimwa.

Majibu yakatoka nikaonekana sina VVU....Nifurahi saaaana....nkauliza hzi dalili ni za nn docta akanambia kapime minyoo na amiba au typhod....ndo dalili zake hzo.....

Nlichukua simu yangu nikiwa mwenye furaha nikampigia simu na kumwambia nmetoka kupima na sina UKIMWI....alionekana kutokua na furaha.akaniuliza inaamaaana hujiskii kuumwa kbsaa nkamwambia dalili nnazoziskia ni za maradhi ya kawaida kanambia doctor...hakuonekana na furaha.....

Tokea nlipomwambia sina ukimwi kila siku ananipigia simu kunitana nimpe pesa za kutumia coz yuko dar...nkamwambia na mm nipo dar akaomba tuonane...jana nkakutana nae kariakoo ananilazmisha tuendeleze penzi na mm siko tayar kurudiana nae...nkamwambia ww una UKIMWI.akanambia hana alikua anantania....

Huyu mwanamke kaning'ang'ania anadai hata nikioa mwanamke mwingine atakuja kunifanyia fujo kila siku....nifanyeje jaman ili asinisumbue
 
Hakuna utani wa kiwango hicho! Ungejiua au ungeanza na wewe kuwaza kusambaza kama kisasi kumbe ulikuwa hauna HIV unakuja kuambukizwa ktk visasi humo humo.
 
Demu anakutishia usipo muoa atakuletea vurugu ashajua wewe sio ngangari, wewe ni newbie kakufundisha mwenyewe maujanja. Duuh kutolewa bikra na demu mzoefu kunahitaji moyo!! Komaa kijana hiyo papuchi usiguse tena imeshaingia luba.
 
Kijana uliruka kwenye transformer Ila una bahati haikulipuka
 
Huwa wanaogpa sana mademu unaenda nae mechi ya kwanza haulizii hata ndomu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom