Naombeni ushauri nataka kusoma CPA

Naombeni ushauri nataka kusoma CPA

Ragna

Member
Joined
Jan 22, 2017
Posts
50
Reaction score
16
Kwanza kabisa napenda kutanguliza salaam zangu kwenu wote, mimi nimemaliza bsc agricultural economics and agribusiness nataka kujua kuwa ni vigezo vipi ambavyo unatakiwa uwe navyo kwa mtu ambaye hajasoma accounting ili aweze kusomea CPA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utaanzia Foundation Stage. Sijajua courses ulizosoma kwenye hiyo programme yako, lakini kwenye Foundation Stage inawezekana ukawa exempted some of the papers. Maana at degree level, kuna courses ulizosoma ambazo ziko kwenye foundation stage.
 
Back
Top Bottom