Naona unampango kazi tayari sasa sijui unahitaji ushauri gani zaidi?Wakati wa masomo yangu nahitaji kuweka akiba ili badae niweze kufungua duka wakati nasubiri Ajira zitoke
Hata ukimwambia hata kuamini,muache akajionee mwenyeweNimwambie ukweli au nimuache akajionee mwenyewee..?
Kwanza umepanga kutunza huo mtaji Kwa mfumo upi!!!?Jaman si mnijibu tuu vizuri![]()
Hili ndio jibu aiseee mimi nimecheka tuu nilikosa cha kumjibuNimwambie ukweli au nimuache akajionee mwenyewee..?
UNAENDA CHUO GANINashukuru Kwa busara zenu