MNH, Regency etcBoss kwa Dar wanapatikana hospital ipi na ipi? Nahitaji kuonana na huyo bingwa wa ENT
MNH, Regency etcBoss kwa Dar wanapatikana hospital ipi na ipi? Nahitaji kuonana na huyo bingwa wa ENT
AsanteMNH, Regency etc
Ulishawahi kuvuta sigara? Ulifanya kazi katika mazingira ya hali ya air pollution? Una umri gani?
Kumbuka kifua kinahusika katika mfumo wa hewa. Hewa inayoingia mwilini ikiwa safi ni lazima itoke ikiwa chafu. Maana yake inasaidia kutoa uchafu mwilini.
Kama mzunguko wa hewa una matatizo husababisha matatizo kwenye mzunguko wa damu na moyo.
Kama mdau ISLETS alivyoeleza kuhusu pulmonary oedema. Ninamashaka kuwa unasumbuliwa na kufua cha mshipa (COPD) Chronic Obstruction Pulmonary Disease.
Nenda clinic wa check capacity ya mapafu yako ku exhale and inhale.
Mfumo wa hewa ukiwa na hitilafu hudhoofisha immune system ya mapafu ambayo ni imara sana.
Wagonjwa huhitaji uangalizi wa karibu wa daktari katika kutibu infections za kifua, dawa za kutanua mishipa ya hewa na steroids.
Hiyo mbona ni asthma. Kila unPobanwa tumia dawa. Nenda hospital watakupa dawa. Usafi wa nyumba muhimu sana. Kusiwe hata na vumbi kiduchu. Acha kutumia perfume au sabuni za unga. Lakini pia fanya uchunguzi wa magonjwa ya moyo. Muone daktari mtaalamu wa moyo.
Pole sana
Unasema unakohoa bila makohozi halafu kwenye kupima ulipima makohozi, how?
Nenda kapime X Ray ya kifua utapata jibu. Kwa hizo dalili I guess something like Pulmonary Oedema (maji kwenye mapafu), ila vipimo ndio vitatoa majibu sahihi.
Pia huenda una mzio (allergy). Baadhi ya Madaktari huwa wanasahau kuihusisha allergy kwenye uchunguzi. Lakini nakuhakikishia yenyewe pekee inaweza kukutesa hadi ukalazwa ICU
Asthma isopokuwa controlled huwa COPDMkuu dalili zote ulizosema hata mimi ninazo. Japokuwa za kwako ni kubwa kunizidi mimi. Dawa zote hizo hata mimi huwa nazitumia tu pindi ambapo siko poa.
Wadau hawa niliowaquote wanakuwa wana jibu kwako. Binafsi nina tatizo la Asthma, na huwa nakohoa usiku tu, na huwa napiga chafya haswa nikiingia kwenye mazingira yenye vumbi, au harufu/manukato makali.
Wakati mwingine hata baridi inaweza ku trigger Asthma. Na ugonjwa wa Asthma ni wa allergy tu. Kwa hiyo ukipima na ikibainika allergy yako (visababishi) utaambiwa uepukane navyo. Visababishi vinaweza kuwa manukato, vyakula, vumbi, baridi n.k
Nadhani ni COPD ndio inayomsumbua maana kuna post moja hapo juu amesema anafanya migodini shughuli zake kama nimesoma vizuri so nadhani akienda hospitali kubwa atapata ufumbuzi.Asthma isopokuwa controlled huwa COPD
Hii probably ni COPD kama dada Sky Eclat alivyosema hapo juu.Mkuu mwili wangu ni wa mazoezi mara nyingi na huwa nacheza mafunzo ya muda yanayoendeshwa hapa mgodini ni kila wiki najitahidi mpaka Root much huwa nafanya kiukweli nikipiga mazoezi inanisaidia sana ila mpaka ninywe na chai yenye ndimu.
Hii kitu sababu ameshapima pima sana...Unasema unakohoa bila makohozi halafu kwenye kupima ulipima makohozi, how?
Nenda kapime X Ray ya kifua utapata jibu. Kwa hizo dalili I guess something like Pulmonary Oedema (maji kwenye mapafu), ila vipimo ndio vitatoa majibu sahihi.
Tatizo kuna magonjwa ya mapafu dalili zinafanana sana. Pamoja na kuchukua historia ya mgonjwa ni muhimu pia kuchukua vipimo vya awali. Kitu ambacho sijaelewa tatizo gani la moyo linaloweza sababisha kikohozi? Angina Pect. Ni maumivu ya kifua.Hii kitu sababu ameshapima pima sana. Hapa madaktari wake wanashindwa kunyumbua ukali wa kikohozi, wakati gani? Na hii ya kifua kumuuma zaidi wakat amelala. Ni tatizo la moyo.
Baada ya kufahamu lung capacity ndiyo anaweza kuanza kutibiwa na Salbutamol na Prednisone. Antibiotics kama ana chest infection
Kifedha siko vizuri kwa sasa sababu hata pesa niliyokuwa nayo nillifanyia miradi ya kimaendeleo hivyo kama ntaendelea kuwa hai basi ngoja nipigane nikiamini Mungu atanisaidia niweze kwenda kwenye tiba.Nenda kafanye X Ray utakuwa na maji kwenye mapafu mkuu