jamani avumilie ndio shida hizo raha inakuja, awe bize na mambo yake, inakuaje anatengeneza mazingira ya kumfumania , mwambie upepo tu unapita with time atarudi
huyo rafiki yako naye ajichunguze wapi haridhishi katika ndoa yake kwa maana kuna sababu za mtu kuchepuka ktk ndoa kama tabia yake haikuwa hivyo sio kuondoka tu bila kujua sababu iko wapi, ila km ni tabia ya mumewe bila sababu hata mimi ningemshauri AONDOKE sababu ya kujihadhari na kujiepushia magonjwa yatakayokuja sababu ya ngono nzembe ya mtu mwiingine
Aondoke aende wapi?kwani yeye anafikiria nini?
Kwa nini mwanaume anadiriki kulala nje?
Uhusiano wao toka mwanzo ulikuwaje?
Mwanaume analizungumziaje hilo
?
Mara ngapi wameketi meza moja na kuzungumza?
Mwambie apunguze kua selfish acha itumike tu haiishi.