apprentice1997
Senior Member
- Jun 8, 2016
- 107
- 99
Ngoja watoto wenzako waje kukushauri!
Kama hamna cha kuchangia afadhali mkae kimya. Haya matukio yanatokea sana. Wasichana wanabakwa na watu waliowazoea na kuwaamini. Hata kama ni stori ya kutunga kuna cha kujifunza hapa.hii ni stor ya kufikilika na kama ni kwel anatak utakap kuta shimo usishangae hakuna cha kubakana skuizi
I don't care...mtizamo wangu sio lazima ufanane na wa kwako..And you are verified user......SMH.
Kwa ujinga huu mkifeli mitihani mnalaumu masomo magumu....
BTW kubakwa kashabakwa na hamna namna tena ya kuirudisha hiyo bikira tena..Labda mwambie aweke bikira feki uifaidi maana naona una uchungu nayo sana
Sasa kama mtizamo wako sio lazima ufanane na wa mwenzio kwanini thread ya mwenzako uuite ni ujinga?I don't care...mtizamo wangu sio lazima ufanane na wa kwako..
BTW JF ni jukwaa huru
Nimeuita ni ujinga kwa sababu ni mtazamo wangu pia na nina sababu zangu......Chenye maana yeye atachukua...kama anaona hakimfai anapotezea..Sasa kama mtizamo wako sio lazima ufanane na wa mwenzio kwanini thread ya mwenzako uuite ni ujinga?
HahahahahahhahahahhahahaUna umri gani.. Isije na Sie tukakubaka na ushauri wetu.. Ukashindwa hata kumaliza Shule..
Mmmmmmmmmh
Pole kwako, labda uandike amekuambia yapi zaidi. Na juu ya dada yake alichukuliaje yaliyomtokea na anaishije na huyo jirani kwa kumuona kila siku etc
Mmmmmmmmmh
Pole kwako, labda uandike amekuambia yapi zaidi. Na juu ya dada yake alichukuliaje yaliyomtokea na anaishije na huyo jirani kwa kumuona kila siku etc