Wacha uzito bob huyo demu chawote.distance relationship itamfanya kila siku atiwe.huyo ni nyoka lazima arudi shimoni ndo nyumbani kwake.Mtaniwia radhi kwa uandishi wangu ndugu zangu,mimi siyo mwandishi mzuri sana ila nitajitahidi mnielewe.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 28, nipo katika mahusiano na binti mmoja mwenye miaka 25 na sasa huu ni mwaka wa nne tupo katika mahusiano na tunapendana.
Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwani huyu mwanamke nimegundua siyo mwaminifu baada ya kukuta sms ktk simu yake akichat na mwanaume mwingine na huyo mwanaume akimuomba ampe tena penzi, (inavyoonekana tayari walishafanya kipindi cha nyuma). baada ya kuona sms hiyo nilimuuliza huyo mpenz wng mbona amenisaliti? alilia sana na akaniambia ni kwel amenisalit ila amefanya mapenz mara mbili tu na huyo mwanaume na hatarudia tena. Dah kiukwel niliumia sana kwa sababu toka nimekuwa naye kwenye mahusiano sijawahi kuchepuka hata siku moja. Alilia kwa siku tatu mfulilizo hadi nikamuonea huruma nikamsamehe ila bado moyo wangu unauma sana kila nikifikiria.
Huyu mpenz wang anafanya kaz mkoa mbali na niliopo na huwa tunaonana kila baada ya miez mitatu au minne wakat mwingine had mitano, kinachoniuma zaidi huyo jamaa aliyechepuka naye wanafanya kazi sehem moja na ana kitengo kikubwa kuliko yeye. Kwa sasa mpenz wng yupo huko kazn kwao ila roho inaniuma sana kila wakat nahis anachepuka na jamaa tu coz wapo sehemu moja.
Nilishamsamehe ila roho yangu inauma sana ndugu zangu naomben ushauri.Moyo unauma sana.
Haina makombo mkuu
OkKama ya kwako haifai kwa kuliwa hata na ndimu maana imechacha kweli kweli...K zina makombo sisi ndio walaji
We miaka minne yote badala ya kumuoa ulikuwa unafanya nini?
NYEGE SIO MAVI/UHARISHO KWAMBA LAZIMA ANYE!!!!! HUYO NI MARAYA
Yoope yooooope yoooooooooope unajua hesabu za kuzidisha yoope...chukua 2 x 14 = ? Naomba unijibu yooope tafadhari...
mpenzi wako hajakucheat mara mbili...
Kuna mwanaume mwingine mtaani kwake tofauti na bosi wake anamla
Huyo boss wake ataendelea kumla sikuzote utake usitake,ukubali usikubali,
YOPE NAONGEA NAWEWE HUYO MWANAMKE SIO WA KWAKO TENA ACHANA NAYE TAFUTA MWANAMKE MWINGINE ATAYEWEZA KUVUMILIA HARI ZOTE.
AMINI WAPO
Nimecheka sana kwa hili jibu.ππ
Mtaniwia radhi kwa uandishi wangu ndugu zangu,mimi siyo mwandishi mzuri sana ila nitajitahidi mnielewe.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 28, nipo katika mahusiano na binti mmoja mwenye miaka 25 na sasa huu ni mwaka wa nne tupo katika mahusiano na tunapendana.
Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwani huyu mwanamke nimegundua siyo mwaminifu baada ya kukuta sms ktk simu yake akichat na mwanaume mwingine na huyo mwanaume akimuomba ampe tena penzi, (inavyoonekana tayari walishafanya kipindi cha nyuma). baada ya kuona sms hiyo nilimuuliza huyo mpenz wng mbona amenisaliti? alilia sana na akaniambia ni kwel amenisalit ila amefanya mapenz mara mbili tu na huyo mwanaume na hatarudia tena. Dah kiukwel niliumia sana kwa sababu toka nimekuwa naye kwenye mahusiano sijawahi kuchepuka hata siku moja. Alilia kwa siku tatu mfulilizo hadi nikamuonea huruma nikamsamehe ila bado moyo wangu unauma sana kila nikifikiria.
Huyu mpenz wang anafanya kaz mkoa mbali na niliopo na huwa tunaonana kila baada ya miez mitatu au minne wakat mwingine had mitano, kinachoniuma zaidi huyo jamaa aliyechepuka naye wanafanya kazi sehem moja na ana kitengo kikubwa kuliko yeye. Kwa sasa mpenz wng yupo huko kazn kwao ila roho inaniuma sana kila wakat nahis anachepuka na jamaa tu coz wapo sehemu moja.
Nilishamsamehe ila roho yangu inauma sana ndugu zangu naomben ushauri.Moyo unauma sana.
Yope, Yope , Yope nimekuita mara tatu.
Yope achana na huyo kiumbe, Yope narudia tena achana naye utakuja kuumizwa hutoamini siku ya kuumizwa lako.
Usiyaamini machozi ya huyo kiumbe.
Mimi yalininitokea hayo naongea nachokijua,
Ex wangu alilia alilia na kuniomba radhi ,nilimsamehe, lkn haikupita miezi sita aliamua kunisaliti na kuondoka kusikojulikana.
Akiniacha na maneno ya kejeli na dharau.
Yope achana na huyo mwanamke hakufai. Usiwe mjinga kwenye mapenzi.
Wala usijifariji eti pengine alikusaliti kwasababu ya umbali wenu. Huu ni ujinga uliotukuka. Msaliti hapaswi kuvumiliwa.
Yope nimekuambia haya. Sio lazima uyachukue. Lakini mwisho wako sio mzuri na huyo mwanamke.
Ipo siku mtaachana tu hizo red flag sio za kupuuzia