Naombeni ushauri kwa hili

Mwanamke akifikisha mimba kubwa na baada ya kujifungua ndo kabisaaaa mwanaume uwa malaya kutokana na hali ya mkeo kujifungua.

hili haliihitaji udhibitisho,

wakati wa kutongoza kuna wanaume wapo wazi wanasemaga haya maneno.

-wife kajifungua si enjoy mapenzi
- mara wife yupo kwenye siku zake, ujinga mtupu.

Mleta mada hili ndo linakuponza mke kujifungua umeanza umalaya, haiwezekani ndoa changa hivyo mkeo abadilike.

Kuna wanaume wanajielewa, hata kama ana mchepuko mke wake akijifungua anavumilia mwaka mmoja kutotoka nje mtoto kwanza akue.

Shoga yangu alijifungua mwezi wa 12 mapacha sasa hivi mmewe anaingia ndani saa 5 kila akiingia ndani ana sababu mara mvua ilinyesha town, mara nn sms za michepuko yaan utumbo mtupu.

Akaniambia nikamshauri kwanza tunza hizo sms za mchepuko wa mmeo, akafanya hivyo, pili sajiri lain ya siri inunulie simu yake ficha chumba kingine uwe unaitumia sms afu unajibu mwenyewe.

Anaandika sms hivi

"darling ndoa imenishinda mwanaume kila siku anachelewa kufika ndani, nikimuuliza ni ugonvi, nina stress naomba tukutane weekend unipunguzie stress mm siwezi kujibizana nae tena. Anaituma. hafuti sent items simu anaacha kabatini akifika jikoni anajibu mwenyewe , mme yupo seblen anaskia sms zinaingia baada ya wiki mme siku moja kashika sim ya mke ahaaa mkuki kwa nguruweeee wacha mme asaleeee vurugu tupu, mwanamke kamwonesha zile sms za mchepuko, na akamwambia na mm nimeamua kutafuta pa kupunguzia stress mwanaume aliumia balaaa.
 
Mkuu daaah poleeee lakin hebu nianze na wwe kuwa baba mwenye nyumba usiwe mvulana kwani misimamo yako hajui.. pia weka mipaka kwenye cm haiwezekani kila kitu apekuwe kama kuku anataftia wanae riziki
 
Mwanamke kama huyo natamani aingie mziki wangu...dawa yake ndogo tu wiki nzima sirudi home.
Akipiga namtia blacklist...siku narudi home akiniuliza namfungukia kwamba kwa usengerema unaofanya I will kill you ndio maana niliamua kukaa mbali nawe so please acha u.k.uma wako.


Asiponyooka sio ridhiki yako hiyo.
 
Ndoa ndoano!? Hawez kukuheshim mke wako hata kidogo kuna kosa ulilifanya mwanzon ludi kaa chin uone wap ulikosea.
 
Huyo mwanamke dawa yake muolee mke wa pili tu!! Ndo atajua umuhimu wako atakapoanza kupangiwa zamu!!
 
Kama itawezekana usitumie social media kwa muda na kama itawezekana hata simu tumia ya kawaida tu isiyokuwa smartphone, ili uweze kuondokana na tatizo hilo, kwani invyoonyesha wewe ni mstahamilivu hivyo basi stahamili kutotumia hizi social media kwani kwa kipindi hiki inaonyesha hazina faida na wewe, bali zinakutia karaha na hasira.
Hakuna aliyekamilika kila mtu ana mapungufu yake, na kwa kuwa huyo ni mkeo na mmeshabarikiwa na mtoto bora stahamili naye ili mpate kulea mtoto wenu, siku zote jaribu kuchukua hasara ndogo ili kuizui hasara kubwa kutokea.
 
weka simu yako password na ni marufuku kumpa hiyo password anune alie azimie ataelewa tu badae.. kuangalia simu si kosa kosa ni kuchat na watu ambao hata hawajui ipo siku atachati na mtu anayekudai...

ana kichaa huyo cha mda tu kitaisha soon ila wewe ukisimama kama mwanaume ndani ya ndoa muonye kwa upole na tumia ukali inapobidi.... kujifungua plus uchakavu wa mimba anajiona kazeeka ila soon atarecover na kujiamini...

swala mtoto usikubali litumike kama fimbo na muonye kwamba ugomvi wenu kumuingiza mtoto hutaki sababu hausiki..

mkuu badilisha tabia yako muaminishe kuwa ni one and only kama anataka kuwekwa dp mtupie mbona fresh tu ....

mfundishe namna ya kujiamini sababu si vyema kabisa kukaa kakaa hovyo
 
kwa kifupi hajafundwa
 
Kanichosha hapa tu SIUWI MENDE KWA NYUNDO hivi alimaanisha nin haswa
 
Nimekuelewa lakini kumuachia cm yangu ilikuwa moja ya kumaminisha kwamba sina njia nyingine ambazo hazina msingi na ndio maana najiamini kumuachia cm ili ifike sehemu ajithibitishie na awe na imani na mm lakin kwake ikawa tofauti.
 
Ulumzoesha vibaya tokea mwanzo, sim yako sio ya kwake ungestahili kusimamia hili yasingetokea haya
 
Pole sana ndugu. Huyo wife wako naona hatofautiani Sana na wife wangu kwa kila tabia


Tofauti tu ni kwamba wa kwangu ilifikia kipindi alikuwa anadukua akaunti zangu za mitandao na kuanzisha mijadala bila hata kutumia simu yangu manana ni msomi.

Nilimvumilia kwa muda,hakuacha hiyo tabia ndiopo nikaamua kusolve kimya kimya Kama kichwa cha nyumba.

Sikushauri nawe ufanye Kama nilivyo fnya Mimi maana kila mtu anafikia suluhu kutokana na mazingira yanayomzunguka.

Kifupi, kwa mara ya kwanza ndani ya maisha yangu nilimbadikikia hakuamini kama kweli ni mimi.

Nilishusha kichapo kitakatifu katika maisha yangu. Kwa tukio hili, ndoa ilishake sana na nusura ivunjike ila baada ya kama miezi name wazazi wake waliingilia.

Nililaumiwa Sana kwa unyama huu lakini tangia hapo maisha yamekuwa ya kuheshimiana sana.

Kwa maslahi ya familia,sifanyi asichopenda hafanyi nisichopenda.

Kuna wakati itakulazimu ukaze mkono manana hawa wanawake wa kizazi hiki ukimpatia uhuru kupita kiasi aweza kukufanya zombi la mtaa.
 
Nimekuelewa lakini kumuachia cm yangu ilikuwa moja ya kumaminisha kwamba sina njia nyingine ambazo hazina msingi na ndio maana najiamini kumuachia cm ili ifike sehemu ajithibitishie na awe na imani na mm lakin kwake ikawa tofauti.
watu wana laini za siri zinaishi maofisini sembuse????
 
ulikua huweki password kwa nn unaweka now? ulikua unataka kuprove nn?
usiweke tena password. ila mkemee kumuingizia mtoto kwenye ujinga wake,kua mkali na mpole kila panapobidi
 


Kuna daktari hapa Hawaii nimemtafsiria hii kiingereza akasema, "THAT IS PSYCHOSIS"

Umpeleke hospitali mara moja. Mwanzoni alidhani ni Post Partum depression lakini ameona hiyo imezidi. Usidhani ni tabia ya kawaida...ni ugonjwa!
 
Kuna daktari hapa Hawaii nimemtafsiria hii kiingereza akasema, "THAT IS PSYCHOSIS"

Umpeleke hospitali mara moja. Mwanzoni alidhani ni Post Partum depression lakini ameona hiyo imezidi. Usidhani ni tabia ya kawaida...ni ugonjwa!
Unatokana na nn mbona mwanzo hakuwa hivyo?
 
Mmh si kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…