Naombeni ushauri kuhusu samsung galaxy grand prime pro

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,087
2,193
Habari za majukumu wadau wa jukwaa hili. Nina mpango aa kunua hiyo simu tajwa. Nimeipenda umbo lake lakin mambo ya kuhusu processor sijui. Pia nimeona ina super amoled. Naomben kwa anayeijua vizur anifafanulie coz nipo gizan kuhusu mambo haya. Natanguliza shukran
 
Cheaf mkwawa nà wadau wa technology nawasubir. Mpo wapi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom