Naombeni ushauri kuhusu kusoma Masters

Naombeni ushauri kuhusu kusoma Masters

mtk eng

Senior Member
Joined
Oct 18, 2021
Posts
103
Reaction score
238
Kwema wakuu..

Naombeni ushauri. Mimi ni mwalimu nilisoma BACHELOR OF EDUCATION (BED. Geography) natamani kusoma masters sasa sijui nisomee masters ya kitu gani naombeni ushauri.
 
Mwalimu unasoma Master degree ili iweje wakati hakuna muundo huo kwenye kazi yako hio ya vilaza.

Pambana kivingine hata usome Master degree bado wewe unabaki kuwa kilaza uliekosa fani nono na kukimbilia kwenye mteremko.
 
Kusoma ni kuongeza maalifa sio kumnyanyapaa kihivyo
 
Ulishakosea kusoma education undergraduate. Hapo masters haitakusaidia labda upate kazi kwa kutumia degree yako kwenye corporate then upate uzoefu wa hiyo kazi miaka kazaaa ndio then usome masters yake.

Hiyo Ada ya masters uliyonayo sasa hivi nenda nje ya nchi kasome short course yenye fani adimu.

Mfano unahodha wa meli.
 
Mwalimu unasoma Master degree ili iweje wakati hakuna muundo huo kwenye kazi yako hio ya vilaza.
Pambana kivingine hata usome Master degree bado wewe unabaki kuwa kilaza uliekosa fani nono na kukimbilia kwenye mteremko.
Sawa.. ila natamani sana kusoma master ili niwe kilaza mwenye uhafadhali.. pia vipi nikifanikiwa kupata hyo master hv siwezi hamia wizara kiongozi..? Nipe ushauri chief.
 
Chief hajakuomba uje umvimbiee hapa,Ameomba ushauri khaa!!
 
Mwalimu unasoma Master degree ili iweje wakati hakuna muundo huo kwenye kazi yako hio ya vilaza.
Pambana kivingine hata usome Master degree bado wewe unabaki kuwa kilaza uliekosa fani nono na kukimbilia kwenye mteremko.
Aisee mkuu, maneno makali mno kumbuka tu hata hiyo fani nono ambayo umeisomea wewe waliokufundisha ni walimu kama huyo so bila wao hiyo unayodai fani nono ungeisomea kutoka kwa nani kama si waalimu? Course zote ni nono kwa kila mtu. Kama huna cha kumshauri si ungepita kimya tu. Tusikatishane tamaa bana.
 
Kwema wakuu.. naombeni ushauri. Mimi ni mwalimu nilisoma BACHELOR OF EDUCATION (BED. Geography) natamani kusoma masters sasa sijui nisomee masters ya kitu gani naombeni ushauri.
Soma masters:-
1.Ambayo utaweza kujiajiri sehemu yeyote ile upate pesa.

2.ambayo itakuongezea ujuzi wa kazi za mikono,akili,ujuzi na ufundi.

3.itakayokufanya usiwe mwalimu.....yaani usisome master of education,sababu katika field ambayo hawathamini masters in education
Moja kati ya hizo
 
Aisee mkuu, maneno makali mno kumbuka tu hata hiyo fani nono ambayo umeisomea wewe waliokufundisha ni walimu kama huyo so bila wao hiyo unayodai fani nono ungeisomea kutoka kwa nani kama si waalimu? Course zote ni nono kwa kila mtu. Kama huna cha kumshauri si ungepita kimya tu. Tusikatishane tamaa bana.
Nadhani huyo jamaa watoto wake hatawapeleka shule kwa vilaza ,Mungu amsamehe hajui aliandikalo.
 
Kama unatarget kuongeza Elimu, it is ok. Ila kama unatarget kupanda mshahara unapoteza muda. Kidogo ukisomea Masters ya Uongozi wa Elimu halafu uwe na Connection waweza kupata uafisa Bomani...mind u, uwe na connection. Kama huna connection utaishia kwenye chaki, ukibahatika utapata ualimu Mkuu.

Kila la kheri, elimu haina mwisho!
 
Asanteni sana Mungu awabariki
 
Kwani akisoma masters akaendelea kushika chaki mshahara unapanda mkuu ?

Si niliskia mtu analipwa kutokana na elimu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mwalimu unasoma Master degree ili iweje wakati hakuna muundo huo kwenye kazi yako hio ya vilaza.

Pambana kivingine hata usome Master degree bado wewe unabaki kuwa kilaza uliekosa fani nono na kukimbilia kwenye mteremko.
Toa upuuzi wako huko na ww. Sometimes tukubali bila walimu hata ww usingekuwa hapo. Unaweza kuandika na kujilendemua sababu ya hao hao walimu. Tuweni watu wa kushukuru hizi dharau si dhani kama zinapendeza. Huna wazo ni bora upite kushoto
 
Sawa.. ila natamani sana kusoma master ili niwe kilaza mwenye uhafadhali.. pia vipi nikifanikiwa kupata hyo master hv siwezi hamia wizara kiongozi..? Nipe ushauri chief.
Kasome master mkuu, achana na wapuuzi. Duniani hakuna elimu mbaya, hakikisha tu unafaulu vizuri.Kuna wahasibu, physists, IT kibao wamekimbilia post graduate za ualimu af humu kuna wajuaji wanaponda.
Sekta ya elumu ni kubwa sana kuanzia vyuo vikuu, taasisi za elimu, nlbaraza la mitihani, wizara , mashirika ya kimataifa na hata nje ya nchi.
Wamesahau Jiwe alikuwa pure teacher na amewabuluza ipasavyo *****.
Kuna sekta hawajawahi toa viongozi wakubwa ila sekta ya elimu imejaza viongozi wa kutosha ngazi zote hizo fursa zote wajinga wanajifanya hawazioni.
Mkuu kapige shule na faulu vizuri , master haijawahi mtupa mtu alie kwenye system isitoshe chuo ni sehemu ya exposure sio lazima ufundishe tu au upewe uongozi .
Kuna watu walikimbilia chemical engineering wapo kuoza mapafu mmoja kazikwa juzijuzi.
Mim huwezi leo unambie nikasome udaktari, unesi, farmacy, civil,mechanical, mining.
Hawa watu hawana furaha na kazi zao mda wote kuzunguka zunguka tu kwenye mabumbi.
Watu wanaokula life na viyoyozi ni watu wa admistration wengine ni vumbi na harufu mbaya za wagonjwa.
Tungekuwa tuna reverse time kuna watu wengi wangezikombia kazi zao maana thry are not happy !
 
Aisee.. shukrani sana
 
Mwalimu unasoma Master degree ili iweje wakati hakuna muundo huo kwenye kazi yako hio ya vilaza.

Pambana kivingine hata usome Master degree bado wewe unabaki kuwa kilaza uliekosa fani nono na kukimbilia kwenye mteremko.
Nchi hii inawatu wa hovyo, ase kama huna cha kumwambia si bora ukae kimya
 
Kwema wakuu..

Naombeni ushauri. Mimi ni mwalimu nilisoma BACHELOR OF EDUCATION (BED. Geography) natamani kusoma masters sasa sijui nisomee masters ya kitu gani naombeni ushauri.
Kama ulisoma Geography nenda pale udsm "jalalani" au ardhi ukasome Masters ya GIS..
 
Toa upuuzi wako huko na ww. Sometimes tukubali bila walimu hata ww usingekuwa hapo. Unaweza kuandika na kujilendemua sababu ya hao hao walimu. Tuweni watu wa kushukuru hizi dharau si dhani kama zinapendeza. Huna wazo ni bora upite kushoto
Mkuu Braity habari za siku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom