Naombeni ushauri juu ya hili!

Honestly, mpenzi wangu akienda jeshini au polisi au sekta yeyote inayohusisha mambo ya usalama tunaachana hapohapo.

I never loved working with the government especially any security forces(police, JWTZ, JKT, TISS n.k).
 
Avatar nzuri🙂
 
Achana naye huyo,mi mwanamke akishakuwa na kiburi hatuwezi kudumu
 

Khaaaaaa! Mistari miwili ya mwisho imenilaza usingizi jf yatosha hatoki mtu humu
 
Kosa nmeanza kuliona uliposema "amejiunga na chuo kikuu" kiufupi hawa wadada huko vyuoni sijui huwa wanapewa nini? Lakini nakushauri tulia kwanza pembeni akishamaliza chuo atakutafuta mwenyewe tena kwa msamaha. Huyo mpaka masharobaro wa chuo wammege kwanza akishabwagwa ndo atulie.
Lkn na wewe bro nakuona we ni mbulula yani mtu kama huyo bado unawaza ndoa hapo!
 

nashukuru sana kwa ushauri wako,and am on it now coz am tired ov uncomfortable stress
 
Mwanamke mwenyewe mjeda, mkomalie tu aje akuvunje shingo.....
 

thnx am on it!!
 
Sijawahi kusikia Simba anateswa na Swala...sijawahi sikia mimi.
 
Kachoka kukosolewa kosolewa. Au hapendi kukosolewa kosolewa. Kuitwa masikini ni kukosolewa pia hujui? Unamkosoa mtu dosari zake. Na wewe dosari yako ni masikini.

Tafuta anae penda kukosolewa na kukukosoa. Siku ingine tumia akili. Ukiona una vidosari husikosoe watu maana na wewe utakosolewa na unawekewa offline.
 
When a woman is fed up,there is nothing you can do about it
 
naungana na wengine kwa ushauri mfupi na wenye tija. LET IT GOOO
 
let it go..
her movemovent is too fast as compared to urs..
kaingia mjin kakutana na fujo za mjin zikamchanganya..kwa namna yeyote hamuwez endana na kwa zaidi ya 85% ya wasichana wakiingia chuo hua hvyo. ni jambo la kawaida usipoteze muda tafuta mwngne aliyekomaa na mweny akil ya maisha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…