Naombeni ushauri jinsi ya kumsahau


Aseee poleee .... mama yan stor yako na yanguu ni the same .... bora wew mie mwenzio had rumet wng katembea nae bt baada ya mateso ya muda mrefu hatimae niko poa sa hviii an i don care wht h z doing nasoma zangu japo alinisababishia misap meng ndo nasomakuyatolea kuleee .... ckushangai mamang zaid jikp busy ... kuwa na marafk wanaokukp busy pia .... Mungu mrudieeee anaondoa machungu yote ukimtumain yey.......... hayooo tuuu
 
Siwezi kumtafuta mwingine yaani nampenda sana sioni wa kuziba pengo lake lakini nashukuru kwa ushauri

Endelea kuumia ndo unakomaa kimapenzi ivo... fill the pain moyo uume ukishakomaa utamuacha na utajua n utoto tu uo
 
Siwezi kumtafuta mwingine yaani nampenda sana sioni wa kuziba pengo lake lakini nashukuru kwa ushauri

Sasa uliomba ushauri wa nini kama tayari una msimamo wako?By the way endelea kuteseka wakati mwenzako anakula ujana
 
Npm nikusaidie kumsahau for ua own risk
 
Mwambie unampenda sana na akikuacha utakula sumu!
 
Siwezi kumtafuta mwingine yaani nampenda sana sioni wa kuziba pengo lake lakini nashukuru kwa ushauri

Huwezi? We unataka ushauri gani? Endelea nawe ila ni vizuri ukajua mpo wangapi na ujue ratiba za jamaa katika mizunguko ya madem zake!
 

pole sana, muombe asiwe ana kucheat, na ukimfumania jifanye kama hujaona, mpaka akili yako itakapofunguka
 

Thanks alot nitajitahidi nijikip busy najua nitamsahau tuu
 
pole sana fata hii itakusaidia kama mimi
1-futa namba yake.
2-usipende kukaa peke yako sana tumia mda. mwingi kujichanganya na friends zako or ndugu.
3-kuwa busy kwenye mambo yatayokuletea maendeleo.
La ziada-jitahidi kuondoa mazoea i mean kama kuna mda flan huwa mna wasiliana or night basi kipindi hiki ni bora ulale or ufanye jambo ambalo litakava iyo nafasi.
 
kama ningekua karibu ningekusaidia kumsahau vizuri sana
 

Kama hajakuacha pamoja na kuchepuka sana, usimwache huyo ana real love. Hao wengine watakuja na wataondoka.
Jambo la msingi ni kaa naye msemezaje muulize anapendelea nini au vitu gani vinamkera ktk uhusiano wenu. Maana sie wanaume mara nyingi si watu wa kusemasema mara tuonapo tatizo.
 

Nashukur sana kwa ushauri ubarikiwe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…