C'mon girl achana nae huyo bazazi...umeshafanya kosa moja sio tiketi ya kuendelea kufanya makosa....umegundua mapema kwamba ana wanawake wengi unataka uone nini zaidi ndo uridhike kwamba hakufai??? Ingekuwa umemnyima papuchi tungesema may be........ Sasa endelea kukaa hapo utumike wee mwisho wa siku anaoa katoto kabichii kutoka form four