Poteza mawasiliano nae usmtafute kaa kimya usimtumie msg usimwambie lolote Kipiga pokea usiwe na haraka na kujiexpress wala usimpe chance akutake ujieleze atachoka.yeye na.jitahid sana kumsahau kama tu unahitaj hivo ila nakushaur pima maji na unga utajua kipi kizito
Unataka ushauriwe nini ikiwa huwezi kuishi bila yeye......umeingia kwenye mapenzi miguu yote na si kosa lako ni utoto cha kukushauri dunia ndo hii na yapo mengi utakuja kukutana nayo zaidi ya hayo.
Usipokuwa makini utaangukia pua.Achana na huyo mtu.
C'mon girl achana nae huyo bazazi...umeshafanya kosa moja sio tiketi ya kuendelea kufanya makosa....umegundua mapema kwamba ana wanawake wengi unataka uone nini zaidi ndo uridhike kwamba hakufai??? Ingekuwa umemnyima papuchi tungesema may be........ Sasa endelea kukaa hapo utumike wee mwisho wa siku anaoa katoto kabichii kutoka form four
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.