Naombeni ushauri jamani

ydon

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2014
Posts
253
Reaction score
197
Nina mpenzi ambaye tuna mwaka na nusu sasa.

Jana kantumia txt kwamb "baby sory" nilipojarbu kumuuliza hyo sori ni ya nini akafunguka na kusema kna kipindi nilikuwa nakcheat nilikuwa na mahusiano na mtu mwingine kwa muda wa miezi ka miwil hivi but hatujafanya chochote.

Kiukweli moyo ulipasuka so kawaida nIlipojarbu kumhoji kwanini uliamua kufanya hivyo akasema alikuwa hajielewa na ndo maana aliamua kuachana nae na kubaki njia kuu..

kwa upande wangu sijamwelewa japo toka jana anaomba msamaha up to now ila nashindwa cha kumjibu kwani nahisi ka bado anandanganya..naomben ushauri ndugu zangu
 
Confirmd huna chako bisharo anajisalimisha ila usije mdaka siku za mbeleni....
 
Last edited by a moderator:
Mtu anae cheat atagundua kuwa ni makosa pale tu aanzapo kitendo. It feels guilty when cheating the person you love. I have been through that and it kills me for sure. Never will I do it again bora puleeeeeeeee
 
ebwana mwenyee nadhan kitu kama hicho..tanq sana
 
sasa unatakaje hapo,uwe critical thiker,uthink na ww,huyo mtu wako kaharibu kitu huko na huyo aliekuwa anadate naekuna kitu kinaendelea na atakuwa anakujua na amemtishia kukuarifu ww ss jamaa yako mjanja kaogopa hutamuelewa ndo maana amekutaarifu mapema nakutanguliza samahani ss akili kumkichwa mwenyewe amua kusamehe au kusepa zaidi omba akukutanishe na huyo bidada mwingine ongea nae na mkiwa 3
 
Achana nae mwanamke akianza kugawa nje ni sawa na binadamu akianza kula nyama ya mtu haachi.
 
Hata Mimi kwa upande wangu sijamwelewa! Kama alikuwa na guts za kukucheat Muda Wote bila kimya kwa nini Sasa ndio akwambie???? Hapo braza jitafakari Labda ndio anakutafutia sabbu
 
anadai anahc kitu hiki kinamnyima amani xo ameamua kusema ili apate msamaha wang..but kiukwel hainingii kwa kichwa
 
Haiwezekani mtu akasema alikuwa anacheat kwa miezi 2 eti hakuna kilichoendelea, UONGO. kama si papuchi basi ndimi na mikono kwa sana. mwizi wako hayuko mbali na huko kimenuka na habari za mahusiano yao ziko mtangoni kwako zinapiga hodi. Amua, umeshamegewa sasa je unaweza samehe? je hawezi rudia tena? AMUA!
 
Mi aiseee....ningemkubalia vizuri msamaha..ingepita wiki,ningemwambia "darling sory nimetoka kugegedwa leo,mwanaume yule yuko sooo moto"
Afu ningeona atareact vipi..senzi zake
 
Jinsia yako please? Tuanzie hapo maana nitatoa ushauri kutokana na jinsia yako!
 
Mi aiseee....ningemkubalia vizuri msamaha..ingepita wiki,ningemwambia "darling sory nimetoka kugegedwa leo,mwanaume yule yuko sooo moto"
Afu ningeona atareact vipi..senzi zake

punguza hasira mkuu.
Habar za miaka mingi?
 

bisharoWewe acha kutuchanganya hapo kwenye red, atasemaje alikucheat na hapo hapo hajafanya chochote? Ama hujui kiingereza umeamua tu kuandika.Please define what is cheating in relationship then urudi kuandika upya story yako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…