abou de don
New Member
- Jan 19, 2014
- 2
- 0
Kuna msichana nampenda sana na nimekua nae takriban miaka 2 sasa wakati naanza nae mahusiano alikua amemaliza kidato cha 4 lakini alinikubalia kwa sharti Moja kwamba hatoshiriki tendo LA ndoa na Mimi mpaka atakapomaliza kidato cha 6 kwakua nilikua nampenda nilikubali kiukweli tulipendana sana na nilijitahidi kumpa kile anachokitaka japo sio kikubwa lakini kilimtosheleza kwa kua alikua bado mwanafunzi lakini alikua akinipigia cm karibu Mara 3 kwa siku lakini siku hizi amekua busy na marafiki zake akichati na marafiki zake kwenye mitandao ya kijamiii inapita siku nzima hanipigii cm hanitumii msg yani upendo umeshuka na sio kama a wali na kinachoniuma sijala hata tunda JE KWA MABADILiKO HAYO A NANiPENDA KWELI?