Naombeni ushauri jamani

Naombeni ushauri jamani

Ww mwenyewe unaonaje yaan mtu ukae naye miaka 2 halafu uje utuulize sisi!
"haya anakupenda sana Usimwache subiri ulie..!
 
Hivi hivi unagive up bila kula mzigo nahisi utapata maumivu sana moyoni kwa cost ulyoitumia kumsitawisha halafu wengine waneemeke .

Make sure unakula mzigo halafu unapiga chini kumtafuta mwingine wa kumwoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom