Tesla Motors
Member
- Nov 26, 2017
- 62
- 26
- Thread starter
-
- #21
Huyo Manzi baada ya Kumstukia tukakaa kwa muda hivi baada ya kuzoeana hofu ikaisha....si kuna siku bwana Nikawa nmekutana nae na nikamuomba tena Mzigo...akakubali tukawa tunaenda Gheto....tukafanya na awamu hii Nilitumia Condom, sasa kumbe wakati naenda na uyo Manzi gheto mm Mazangu aliniona....Jioni nafika home mama kapanic kweli akaniambia unamjua yule dada? Na mama presha imepanda kweli....akaniambia yule dada ana ukimwi Mwaka wa 3 huu aanatumia dawa, na alishavunja ndoa ya jamaa mmoja pale mtaani baada ya mke wake kujua amesex na positive ikabd amuache mume yule....hio siku nilitamani ardhi ipasuke inimeze...nikajiapia sitofanya peku tena.....HIO NDIO STORY YA NAMNA NILIVYOJUA KWAMBA ANA UKIMWIMatumizi ya arvs kwa Muda mrefu husababisha viral load kuwa chini sana, na hiyo hupelekea kupunguzA chance ya kuambukiza.
Kwa hiyo huyo Manzi Aliyetuma Arvs kwa Muda wa Mwaka mzima hakukuambukiza kwa concept hiyo.
Braza huna ngoma jiachie kwa mpenzi wako tu.
Ila hujatuambia ulijuaje kama huyo Manzi anatumia dawa
Hofu ni zao la fikra ambalo hutokana na upungufu wa imani chanya juu ya Jambo ama kitu!!Ndio ndugu naomba nifunze namna ya kukataa hofuu...japo swala la Condom nipo fixed bila condom sifanyi hio ni Formula Kwangu
Ahsantee sana ndugu ubarikiwe maana hio hatua ya kuhis condom ndio njia pekee ya kuwa salama nshafika nahisi nsipotumia condom napata UKIMWIHofu ni zao la fikra ambalo hutokana na upungufu wa imani chanya juu ya Jambo ama kitu!!
Mfano.wewe unaogopa sana UKIMWI na bada ya kugundua umesex na muathirika wa VVU ulijaa hofu juu ya usalama wa afya yako.
Ukakosa kujiamini,na ukaamua kutumia condom ukidhani ndio njia sahihi ya wewe kujihakikishia usalama wako.
Jambo ambalo limekusababishia madhara ya kutokujiamini bila kutumia condom,kiasi cha kukufanya uione condom ndo kinga pekee ya kukufanya uepuke maambukizi.
Matumizi ya condom ni mhimu sana lakini siyo lazima siku zote hasa kwenye mahusiano yakudumu"serious and committed relationship ".
Kutumia condom kila siku kunaweza kuzuia imani njema Kati yenu.mfano umesema mpenzi wako anahoji kitendo cha wewe kusistiza matumizi ya condom kila siku hata pasipokuwa na ulazima.
Lakini yote haya ni madhara ya hofu,ambayo imetokana na imani potofu " nikifanya bila condom ntapata UKIMWI "itafika hatua kila mwanamke utahisi ana-UKIMWI!
Ninikifanyike:
1.Badili mtazamo wako kuhusu UKIMWI NA MAHUSIANO YAKO.Jitahidi uwe na mahusiano ya kueleweka pamoja na Elimu sahihi kuhusu UKIMWI ili ukiugua mafua usiwaze ni UKIMWI
2.Sahau makosa yako ya kimapenzi mfano.hiki kisa cha Leo kiwe funzo tuu lakini isiwe sehemu ya fikra zako za kudumu.
3.Jitahidi kujenga mfumo sahihi wa maisha.Kuwa karibu na watu wanaokujenga na kukufanya ufrahie maisha,jishughulishe,usipende kukaa pekeyako na kujikumbusha makosa uliyowahi kujitendea.JISAMEHE!!!
Nshasex na po+ proved wa4-5 tofauti, nlikond sana. Mungu aliniokoa. Nimekikerebisha(brother k's voice)Ndio ndugu naomba nifunze namna ya kukataa hofuu...japo swala la Condom nipo fixed bila condom sifanyi hio ni Formula Kwangu
Ase, maza alishawah nipiga mafumbo dhd ya dem alehisiwa postv, huwaga inauma!!Huyo Manzi baada ya Kumstukia tukakaa kwa muda hivi baada ya kuzoeana hofu ikaisha....si kuna siku bwana Nikawa nmekutana nae na nikamuomba tena Mzigo...akakubali tukawa tunaenda Gheto....tukafanya na awamu hii Nilitumia Condom, sasa kumbe wakati naenda na uyo Manzi gheto mm Mazangu aliniona....Jioni nafika home mama kapanic kweli akaniambia unamjua yule dada? Na mama presha imepanda kweli....akaniambia yule dada ana ukimwi Mwaka wa 3 huu aanatumia dawa, na alishavunja ndoa ya jamaa mmoja pale mtaani baada ya mke wake kujua amesex na positive ikabd amuache mume yule....hio siku nilitamani ardhi ipasuke inimeze...nikajiapia sitofanya peku tena.....HIO NDIO STORY YA NAMNA NILIVYOJUA KWAMBA ANA UKIMWI