Tesla Motors
Member
- Nov 26, 2017
- 62
- 26
DahAcha ujinga ww....wenzio tunapiga mbichi zaidi ya miaka 20 sasa.
Hii ni hatari ndo NaogopaZinaa ni halali au sio halali?
Mambo mengine tusiwe tunajitakia.
Kapime ujiridhishe ili uwe na amani na upunguze stress za hilo jambo hata kama unaona kuna dalili inayoshabihiana na hizo unazodhani ndio za HIV+
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Acha ujinga ww....wenzio tunapiga mbichi zaidi ya miaka 20 sasa.
Ahsante sana Ndugunenda kapime tena ili kuondoa hofu, huna ugonjwa huo ila unautengeneza kwenye mawazo yako.
si kila uki sex na mwenye nao basi utaupata, na hivi anatumia vidonge inapunguza uwezekano wa kuambukizwa.
Kwanza poleni na majukumu ya kila siku ndugu!
Mnamo mwaka jana mwezi wa 6 nilikutana na binti mmoja kimwili na ilikuwa bila kinga (tulisex dak 3-5).
Baada ya hapo nikajikuta sina amani na kufatilia kidogo nikaja kujua mwanamke ni HIV positive yaani confirmed na anatumia dawa mwaka wa 3.
Nikajikuta mwenye hofu mno na nikajua ndo nshaathirika, nikawa nasoma zile early HIV STMPTOMS za mtandaoni ambazo ni
Mafua
Maumivu ya misuli
Maumivu ya viungo
Maumivu ya kichwa
Matezi kuvimba
Na vipele
Dalili zingine zote niliziona isipokuwa vipele, homa na kichwa vilidumu siku 4, matezi sina uhakika kama yalivimba au hayajavimba maana, mm kila nikigusa matezi ya kwenye nyonga huwa nayahisi.
Nikapima baada ya wiki 13 nikakutwa NEGATIVE
Baada ya Hapo sijawahi kusex bila CONDOM.
ikawa tabia yangu kusex kwa condom mpaka sasa maana najikuta sijiamini mimi wala ninayefanya nae!
Sasa tatizo linakuja. Mf nikisex hata nikitumia condom halafu siku chache baada ya kusex nkiona kidalili kama nlivotaja hapo juu napatwa na Hofu
Huwa nasoma hapa mara kwa mara na nokiona forum yenye kuzungumzia UKIMWI huwa kuna hofu inaniingia hivi
Kingine, mimi sijiamini kabisa, najikuta najipa moyo kwamba sina huo ugonjwa ila nafsi ina hofu sana, pamoja na kuwa negative baada ya week 13
Pia nina Mchumba ambae tunapendana sana, nikisex nae natumia condom mpaka anahsi simuamini kitu ambacho kimeleta vurugu kwenye uhusiano wetu!
Nishaurini Ndugu Nifanyeje Maana nimekaa na huu Mzigo Moyoni kwa Mwaka na Nusu sasa
Mambo yako[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Poa. UpoMambo yako
SipoPoa. Upo
Kivipi NduguJiamn mkuu hzo darr unazitengeneza mwenyewe kutokana na hofu yako ya HIV+...
Kuwa jasil, mludie muumba wako na jitahidi uoe..
Sawa NduguPole sana nenda kapime tena uishi kwa Amani
Ndio ndugu naomba nifunze namna ya kukataa hofuu...japo swala la Condom nipo fixed bila condom sifanyi hio ni Formula KwanguPoole sana ndugu!!.
Kwanza nikupongeze kwa kulitambua tatizo lako kuwa ni HOFU na pili kwa hatua za kujilinda na kumlinda mpenzi wako bada ya kugundua umepita njia isiyo salama!!
UKIMWI kama dhana ya upungufu wa kinga mwilini ni tofauti sana na VIRUSI VYA UKIMWI.
Kila mtu anaweza kupungukiwa kinga mwilini,akaumwa na pengine kuliko hata mwenye VIRUSI VYA UKIMWI.
Hivyo mafua,maumivu ya misuli,maumivu ya viungo,matezi kuvimba na vipele ni sehemu tuu ya changamoto za kiafya ambazo mtu yeyote anaweza kupata hata bila kuwa na VVU!
Mfano:maumivu ya kichwa ni tatizo la kawaida kabisa ambalo inaweza kusababishwa na Malaria ama stress halikadharika mafua wengine wakinusa vumbi tuu mafua tayari.
Maumivu ya misuli na viungo ni tatizo la kawaida kwa wanaume wachapakazi na wapenda mazoezi.
Sasa, kwakuwa umepima naumekuta hauna VVU ni vyema ukajiamini na kuikataa hofu na kuchukua tahadhari dhidi ya ngono isiyosalama.
Tumia kondomu,pimeni Mara kwa Mara wewe na mpenzi wako,punguza mtandao wa wapenzi na tamaa ya ngono,kama hujaoa OA.
Mwisho:jitahidi kufrahi na kujisamehe,ni kweli ulikosea lkn sasa unajitambua!