Playboy
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,170
- 945
Habari zenu wana JF wenzangu poleni na majukumu ya hapa na pale ya ujenzi wa taifa hili.Baada ya kutakia kheri,pia napenda kuishukuru jamii forum kwa kuwa moja ya msaada kwangu hasa kujua mambo mengi hasa nyanja za kisiasa,kitamaduni pia kijamii nimeweza kujua mengi kupata ushauri mwingi na baadhi ya vitu nilivyovikuta huku nimeviapply katika maisha yangu vikanisaidia sana..Aksanteni sana kwa hilo.
Dhumuni la kuleta uzi huu ni kuomba ushauri juu la swala hili.
Mimi ni kijana wa kiume niliyezaliwa miaka 25 iliyopita nimeanza kuwa katika mahusiano hasa ya kimapenzi tangu nikiwa na miaka 15 nimepitia changamoto nyingi kama mjuavyo MAPENZI yalivyo na changamoto zake.
Kuomba ushauri hasa ni juu ya hili swala,miezi miwili iliyopita kabla sijamaliza masomo yangu ya degree ya kwanza kwenye chuo kimojawapo jijini Dar es Salaam,nilikutana na mwanamke mmoja ambaye ni rika langu,basi katika harakati za hapa na pale yule mwanamke akavutiwa na mimi akaomba tuwe wapenzi basi mie na moyo wa hurumaa nikamkubalia binti yule tukawa wapenzi ,mpaka sasa tupi naye for two months;
Suala lililokuja kujitokeza sasa ambalo ndo naomba ushauri kwenu,Mimi nilikuwa tayari nina mwanamke ambaye pia ni mwanafunzi tuliye maliza nae chuo ngazi ya degree ya kwanza ambaye tumewekeana malengo sana ya maisha baadaye.Sasa mwanamke huyu niliyeanza naye mapenzi miezi miwili iliyopita amegundua nina mwanamke mwingine na kikubwa zaidi ana mimba yangu ya miezi mitatu na wiki mbili na mwanamke wa sasa kujua yotee baada yakupata mawasiliano na mwanamke wangu wa kwanza wakasimuliana yoteeee,ilikuwa mtitiii acheni tuuu.
Suala lililokuja mezani kwa huyu mwanamke wa pili kanufuata getoo na kuniekeza hayaaa
"Mimi nakupenda sanaaaaa tena sanaaa hapa nilipo nilifunga kizazi,akanioneshea alama hiyo ambayo ipo mkononi chini ya kwapa ukigusa kuna kama kakamba iviii (sijui kama ndo kweli ndo ufungaji wa kizazi uo au laaah)..basi akaendelea tiririka..nilifunga kizazi baada ya kupewa mimba na mwanaume nimpendaye akaikataa mimba ilee ajasema sio yake bahati nzurii nilijifungua salamaa mtoto wa kiume kwa kuwachukia wabaume wote duniani nikaamua kufunga kizazi, sasa basi hapa nipo tayari kufungua kizazi kwa sababy ww tayari una mwanamke wako nataka unipe MIMBA tu uka suala la kulea niachie mimi nitalea sita taka hata senti tano yako then nikuachue uendelee na mwanamke wako lasi ivyo nitahakikisha huta kuwa na huyo mwanamke wako uliyena mimba yako mimi nataja unipe mimba tuu basi nimeamua kufanya hivi sababu nakupenda na napenda hata nisipo kuwa na wewe niwe na damu yako"...akamaliza....
Jamani wana jamii forum nimebaki njia panda sijui nifanyajeeh na amenipa siku tatu kufikiri; naombeni ushauri jamani naombeni nipo njia panda ni hayo tu.