Playboy
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,170
- 945
- Thread starter
- #21
Japo umetudanganya tutakushauri,maana haiwezekani mwanamke akutongoze halafu ushindwe kumwambia kuwa una mtu tena ukizingatia mtu wako ni mjamzito.Pole kwa kulikoroga.
Lakini pole pia kwa kunasa kwenye mtego wa huyo wa pili wa kutaka umpe mimba.Kitendo cha wewe kuja kuomba ushauri kina onyesha kuwa kwa namna moja unataka kumkubalia ombi lake.
Pia pole kwa kuwa muoga maana inaonekana kitisho chake cha kusambaratisha uhusiano wako kimekuingia,kwa hili pia pole kwa kutokuwa mwanaume shababi maana ningekuwa mimi hicho kitisho ndio ingekuwa tiketi yake
Ushauri: Ukitaka uje kuishi maisha magumu hapa duniani basi wewe mpe huo ujauzito anaotaka.
Hapo sijadanganya kitu wanaume wangapi wana hadi wake na watoto lakini pado wana tongoza au tongozwa na wadada wanawakubalia.....ushauri wa mwisho nauangalia kwa jicho la tatu uweza ukawa wa busara...ila ana vitisho kuharibiwa mahusiano kisa mchepuko ndo kinaniwasha kichwa