Naombeni ufahamu

Hivi simbachawene na ngonyani wamehusishwa vipi na saga LA madini ilhali ni wanasiasa tu na si wataalam

Sent using Jamii Forums mobile app
Simbachawene aliteuliwa kuwa waziri wa madini nafikiri ilikuwa June 2015 na katika wiki hiyo hiyo moja akatakiwa asaini mkataba wa makampuni kubadilishana umiliki wa migodi. Mkataba huu ulikuwa na utata mkubwa.

Ninaweza kuwa nimekosea details chache lakini kwa ujumla ni hivyo.

Kwa maoni yangu anawajibika tu kama waziri aliekuwa na mamlaka lakini pengine hakujua anachofanya na aliwaamini wazoefu pale wizarani kama katibu wakuu.

Sijui kuhusu Ngonyani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…