Naombeni ufafanuzi kuhusu Marketing and Public Relations

ashiru mbagwa

Member
Oct 27, 2016
7
2
Habari zenu wadau naombeni ufafanuzi kuhusu mtu anayesoma bacheror in degree of marketing and public relation akisha maliza anadili na masuala gan hasa kikazi.
 
Bachelor degree in marketing and public relation,hao kwa ufahamu wangu,huwa wanakuja kuwa Maafisa masoko au maafisa mahusiano wa makampuni,viwanda na mashirika mbalimbali.
 
Marketing ni kazi ya kudeal na set of controllable variabes such as Place (distribution), Price, Promotion (selling) na Product (bidhaa)... Public relation ni mahusiano ya kiwanda/ kampuni na jamii inayowazunguka ambao ndio hao wateja wenyewe...
 
Back
Top Bottom