Naombeni thamani ya zero

bussness

Member
Joined
Nov 29, 2014
Posts
46
Reaction score
20
Wakati nasoma mwali aliniambia kwamba sifuri ikitangulia namba yeyote inakosa thaman mfano 09/01 ni tofauti na 90/10 je mbona namba za simu inasemekana thamani ya sifuri ni code ya nchi yaani 255 kama ni TZ

je simu zimekuja na thamani mpya ya sifuri?
 
Hujaeleweka kabisa labda ueleze kwa namna nyingine. Hasa kwenye code ya simu.Ninachojua ni kwamba code ya Tanzania ni +255 lakini badala ya kutumia "+" unaweza kutumia "00" ikawa 00255 na inafanya kazi.
 
Bwana mdogo unapoamua kuweka uzi JF wenye kutafuta maarifa yakupasa utulie, weka fikra zako sawa katika maandishi...

Hivi ulipokuwa waandika haya hapa chini, ulikuwa unawaza au unafikiri?

... je mbn namba za cm inasemekana thamani ya 0 ni code ya nchi yaani255 kama ni tz je cm zimekuja na thamanmpya ya 0?
 
Thamani ya 0 iko katikati ya miguu mpaka ubanwe na kuhara ndio utajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…