Nimekupata vyema, ila inaweza pia kuwa ni tatizo la kiufundi, ubinadamu au unaandika complicated na sensitive threads hadi mods wanachanganyikiwa hawajui waiweke wapi wanaishia kuiunganisha kimakosa au kutoipost kabisa...keep on writing, wishing to read your threads one day.