camera ni nzuri, simu ipo fast yani unaweza kurun 3 apps at the same time eg.Fb, whatsapp, na maybe flipboard na huwe unazi switch faster bila statter.
Battery inakaa matumizi ya internet tokea asubuhi saa moja battery narudi ipo 20% mida ya saa mbili.
Screen ni high quality kwa matumizi ya jua na ukiwa unaangalia movie za hd utakubali.
hayo tu