Naombeni ratiba ya clubs zipi zinapiga 80's, 90' and maybe 20's Hiphop

copernicucci98

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
1,225
2,327
Naombeni ratiba ya clubs zipi zinapiga 80's, 90' and maybe 20's Hiphop --- Just OldSchool.

J3 wapi? J4? J5? Alh? ... JPili?

Hizi Amapiano siyo type zangu, zinaniboa sana.
 
G7 pub ,Kinyerezi karibu kwa Kifuru, Dar na uwe pale kabla ya 21H00, maana baada ya hapo ni uchafu tu
 
Na Mimi naomba Club inayogonga Gospel tupu kina Bella Kombi, Paul Clement, Christina Shusho, Mercy Masika, Rehema Simfukwe, Dr ipyana, Zabron Singers, The Sarvovors Gospel Choir, Ambwene Mwasongwe, na wanaijeria pia wagonge Ngoma zao km Judikay, Chioma Jesus, Ada Ehi, Mercy Chinwo, Sinachi, Chris Shalom na wengineo
 
Hakuna hiyo kitu. Otherwise fungua uzi wako vipi wewe?
 
Naombeni jina la kusearch youtube ule wimbo wa Old-Hiphop wa "In ma party" wanafokafoka kishenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…