Naombeni points..lol

Safi sana, ila tunapoongelea kuhitimu kiwango fulani cha elimu, neno sahihi la kutumia ni complete na si finish
 
Umenikumbusha swala la sports. Tulikuwa na mashindano kila shule, ward, wilaya mpaka mkoa. Hapo inaundwa timu ya mkoa kwenda kushindana mashindano ya Taifa. Sijidai ila nilishawakilisha mkoa wangu nikiwa primary ila sikufua dafu. Tulikuwa na wadada wawili mmoja wa Ziwa Magharibi mwingine wa Kigoma. Nimesahau majina yao. Tulienda kupambana nao nilipokuwa Sec. School wenyewe Butimba TTC. Walikuwa wanatutoa vijasho.

Unasoma, unacheza, unatalii nchi na bado unapasua darasani.
 
What is the theme of whatever you want to talk about?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Most of well wishers wakijitokeza, wanaulizwa kwanza misimamo yao kisiasa. Wapo ambao wameanza vijijini baadhi wanajihamasisha kwa kutumia makanisa. Itatuchukua muda kufikia tulipoachia 1978 na Eighties wakati elimu ilikuwa elimu siyo bora elimu.

Tena unaweza kuzushiwa wewe ni mnyaruwanda wakati ni mbongo ‘pyua’ umezaliwa Nanjilinji 😂😂😂😊😊😊
 
Is that a motivation letter or a study plan? I'm confused mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

I’m applying for Community Development course mkuu , I am writing personal statement,nilikua nataka tujadili Kama taifa, wapi pana gap katika ajira hasa hasa kwa vijana,na nini tufanye, mtakua mmenisaidia kwenye application yangu..lol
 
Too much exaggeration! 76% ya girls wana drop shule??? Hii takwimu ina uchochezi ndani yake rekebisha please.
 
Too much exaggeration! 76% ya girls wana drop shule??? Hii takwimu ina uchochezi ndani yake rekebisha please.

76 ya girls wanaodrop out reasons ni pregnancy ama early marriage ndio maana yangu mkuu(76 ya wanaodrop katika asilimia ya wanaodrop, sijui umenielewa
 
76 ya girls wanaodrop out reasons ni pregnancy ama early marriage ndio maana yangu mkuu(76 ya wanaodrop katika asilimia ya wanaodrop, sijui umenielewa
Basi rekebisha, ulichoandika kina maana kuwa 76% ya wasichana wanadrop kwa sababu ya mimba! Soma tena vzr urudie Mara mbili. Girls are most vulnerable whereby 76% of drop out is caused by early married and pregnancy, hii ingeeleweka. Ukiacha hivyo ulivyoandika itaeleweka kuwa 76 ya wasichana wanadrop kwa mimba na ndoa za utotoni
 

Nimekuelewa mkuu thanks sana,nimebadilisha sijui kama nimeeleweka au ndio nimefanya imekua mbaya Zaidi..lol.....haya mkuu nipe points...
 
Niombeeni kwa mods waifute hii topic 😡😡😡😡
 
Ni nini hicho? mambo ya shule shule auuu maana kama ni mambo ya skuli skuli mi siyapendi kabisa, halafu mbaya zaidi siyawezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…