Naombeni njia wadau, nimekwama

Ikatae kabisa hiyo sauti inayosema vumilia, huyo bado mvulana atakusumbua tu.
 
Amekurudia ili akidhi haja zake kwa urahisi pindi anapohitaji, ila anampenda huyo mwanafunzi,wewe hakupendi
 
Amekurudia ili akidhi haja zake kwa urahisi pindi anapohitaji, ila anampenda huyo mwanafunzi,wewe hakupendi
 
Hizo ndo zinaitwa red-flags, Don't you dare to get married to such a person. Over and Out
 
Back
Top Bottom