Naombeni njia jamani nifanyeje

Naombeni njia jamani nifanyeje

Tatizo ulijitwisha majukumu ambayo si yako...

Chukulia hilo kama somo na usirudie tena kwa utayempata mwingine...

sijui kama nitampata mwingine,maana nimeshaona kushindwa.shukrani lakini.
 
Nime Jaribu Kukufuatiria Kwa Karibu Sana Huenda Habar Hii Ikawa Ya Kweli ,na Hum Jf Ww Simzoefu Kuhusu Uandish Ni Suala La Kawaida Na Ambalo Lina Rekebishika , Na Rudi Kwenye Mada Kwanza Nikupe Pole Kwa Yote Yaliyo Kukuta Ila Kaa Ukijua Kumsahau Mtu Ambaye Alikuwa Karibu Nawe Ni Kaz Sana Ikiwa Unajua Yupo Na Yuhai Bora Angekuwa Amekufa Ungemsahau Kumuradhi Si Muombei Kufa, Ushauri Wangu Jaribu Kumtafuta Mtu Ambaye Atakuwa Karibu Nawe Na Sibinti Huyo,,mtu Atakaye Kuwa Karibu Nawe Haija Rishi Ni Wakiume Au Wakike.Ili Mradi Tu Anakufanya Usipate Mda Mrefu Wakufikiria Kukaa Peke yako Huku Ukiwa Na Mawazo Unaweza Kupata Vidonda Vya Tumbo Pia Uwezo Kujiua Nimkubwa Sana. Ni Hayo Tu,
 
Mkuu dudu zinazaliwa kila siku. Tafuta mwingine atakaeutuliza moyo wako.
Lakin ongera kwa kujua kupenda mkuu.
 
nikweli ni yakweli kabisa ndugu,shida yangu imekuwa kumtoa moyoni,mpaka kuwazia kurudiana nae lakini sina njia,ila ninashukuru kwa ushauri wako yote ya yote nilisha mwachia MUNGU,isipokuwa hajanitoka moyoni na ndilo liniumizalo.nimeuzingatia ushauri wako ndugu.kila la heri.
 
Mkuu, hapo njia rahisi ni kuukubali ukweli. Kubali kwamba ni kweli binti amekuacha na amepata mwingine na upo tayari kuanzisha maisha mapya bila yeye. Ukicomplicate utaumjza moyo wako.
 
Mkuu dudu zinazaliwa kila siku. Tafuta mwingine atakaeutuliza moyo wako.
Lakin ongera kwa kujua kupenda mkuu.

wengi wanazaliwa,wengi wapo lakini si kila aonekanae ndio wangu,wengi ni wa watu japo na mimi ni mtu ila yule hajafanana na mtu yeyote kwa kweli.asante lakini.
 
Mkuu, hapo njia rahisi ni kuukubali ukweli. Kubali kwamba ni kweli binti amekuacha na amepata mwingine na upo tayari kuanzisha maisha mapya bila yeye. Ukicomplicate utaumjza moyo wako.

nashukuru,kinacho nigharimu ni kukubali.na hii ni kulingana na ahadi na mapito tuliopitia alafu tumetengana kizembe vile sijamaani bado lakini ni hali halisi hayupo.asante lakini kwa ushauri.
 
Muombe MUNGU akupe ujasiri, uvumilivu na amani moyoni. Then kaa ktk mpango wa Mungu naye atakupa cha kufanya.

Pamoja na yote jitahidi kuandika kwa kufuata kanuni za uandishi bora. Unatupa tabu kusoma!!

POLE SANA.

asante ndugu yangu ni mkono umeteleza tu halafu nashindwa kusahihisha. naam najitahidi sana kumba na ndicho kilichonifanya nisipaniki nikijua ni mapito tu,lakini naona nikweli kaniacha na sina jinsi,kumsahau ndio shida yingine lakini nina amini MUNGU ni mwenye huruma na upendo atanijalia la heri na pia ninamuombea na yeye pia maana maisha yanaendelea na shida hazina kikomo.
 
Mkuu mwaka ni mwingi aisee... usiniambie haujaendelea na maisha yako..??!!,.... ushauri ni wewe kuendelea na maisha achana na huyo mwanamke maana mwenye kosa sio hao vijana wajanja ni huyo mwanamke ameshindwa kujua upendo hupimwa na nini...

ukweli wa MUNGU pale aliponiacha ni palepale nina staajabia na hata picha sipati.tulipitia mengi ndugu yangu sijui hata nikuambieje,nakumbuka alipofiwa na mama yake jinsi livyohangaika na kauli alioniambia mimi ndio baba na mama yake, ilinifanya nimchukulie bila yeye mimi sio. halafu tumeachana eti! aah wapi sijakubali bado.
 
mkuu pole. hapa shetani tumuhurumie sizan kama kahusika

kwa kweli anahusika,kumsahaulisha yote tulio ahidiana,kumsahaulisha yote tulio pitia,mwanga unakuja halafu hayupo? hapana, anahusika yule muovu.
 
Back
Top Bottom