Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
ha haaaa, umekusanya wanao ukawaweka na mdada? kaazi kweli.....Wadada haswa kwa sisi ambao tuna watoto afu hatujaoa rasmi ni shida sana..
simu ya nyumbani ndo ambayo anaitumia, in case hana yake, na tatizo bado ni lile lile.Usimpe hela weka tu utaratibu wa kupiga kila siku mara mbili au tatu..au weka hela simu ya nyumbani sio yake
simu ya nyumbani ndo ambayo anaitumia, in case hana yake, na tatizo bado ni lile lile.
Ukweli kati ya watu wanaopiga simu nyumbani mara kwa mara ni mimi, na ndo maana anaweza kukaa wiki nzima hajanipigia. lakini sasa inatokea umepiga tu baada ya muda kukatokea dharura, labda mgeni kaja au chochote kile ambapo dada inabidi anitaarifu; sheshe ndo linaanzia hapo.
anajua kutumia bundle ila sasa hela yooote inaishia kupiga simu zake anazozijuaNunua bundle ya wiki nzima. Asipate sababu. Je anajua jinsi ya kutumia hizi bundles au...?
Ukweli kati ya kitu sikitaki ni kuni-beep, ndo maana nampa hela ya airtime, sitaki kabisa huo mchezoMuelimishe atakuelewa na umuambie wala haitaji kukupigia akubeep tu kunapokuwa na dharura, au umuonganishie kifurushi cha wiki hata kama atamaliza muda wa maongezi bado atakuwa na msg za kutosha hivyo kunapokuwa na dharura atakutumia msg.
Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
Asante rafiki.Karibu airtel yatosha package..but Tafuta wataalam simu ifanyiwe settings ipige namba fulani tu...namba zingine haipigi
nakuambia, hawa watu ni majanga.Hapo hamna usuluhishi zaid ya kukata huduma ya kumuwekea vocha,hata mm wife alilalamika anampa vocha bt inaishia kupigia ndg zake sasa hv huduma tumekata kbs tunapiga sisi kama akitaka vocha anunue mwnyw apige atakavyo....mabeki 3 akili zao wote ni moja.
Ukweli kati ya kitu sikitaki ni kuni-beep, ndo maana nampa hela ya airtime, sitaki kabisa huo mchezo
Asante rafiki.
Ila sasa nikiiblock kupiga namba nyingine si nitakuwa namwonea? akitaka kuongea na wazazi wake au ndugu wengine itakuwaje?
home napiga sana simu, yaani hata mara 5 kwa siku, lakini hiyo haizuii kutokea dharura inayohitaji simu ya haraka.Wadada wanachosha sana nahis IQ ndogo
Kikubwa weka masharti kuwa pesa unayoweka isitumike kinyume na mashart
Ila kuwa mtu wa kupiga simu home hta mara 3 kuepusha matatizo.
nakuambia, hawa watu ni majanga.
Yaani siku mwanangu wa mwisho anaenda boarding school nitapumua sana, yaani sitathubutu kuendelea kukaa na hawa watu hata kwa siku moja, nakaa nao tu sababu ya watoto
umenipa akili nyingine hapa rafiki.Una block simu ya home unayoweka pesa..yake huigusi
ha haaa, atanielewa unafikiri?Basi muunganushie bando la wiki na umuambie ni kwa ajili ya dharura hapo nyumbani kama anataka kuwasiliana na ndugu au rafiki zake awatumie msg period.
Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app