R RAINFORCEMENT Member Joined Aug 26, 2013 Posts 12 Reaction score 1 Sep 30, 2013 #1 Kila nikitaka ku run games na other program, Pc yangu inaniandikia VGA IS MISSING! ivyo sasa sijui tatizo ni nini pia haiwezi kubadili brightness yani inaumiza sana macho kwa mwanga mkali.. Natanguliza shukran
Kila nikitaka ku run games na other program, Pc yangu inaniandikia VGA IS MISSING! ivyo sasa sijui tatizo ni nini pia haiwezi kubadili brightness yani inaumiza sana macho kwa mwanga mkali.. Natanguliza shukran