Naombeni msaada

Naombeni msaada

Coolbaby

Senior Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
116
Reaction score
5
shikamooni wakubwa na wengine habari za saizi ....poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale mimi nilikuwa naombeni msaada wa kazi kwa rafiki yangu ambaye amezunguka huku na kule kutafuta kazi bila mafanikio yeye anajua kuendesha magari ya aina yote nawaombeni sana mumsaidie
 
Kuna mmoja alishauri, "Nunua gari lako aendeshe" Haya yalitokea ktk post HII HAPA hivyo fuatilia uenda kulikua na majibu mengine yanayoweza kukusaidia.
 
Back
Top Bottom