naombeni msaada

jamani mm nina mchumba angu ambaye tuko karibu hatua za mwisho sasa alicho nifanya jana nashindwa huelewa niko njia panda....
ilikuwa ivi nilipiga sm usiku wa manane yaani saa 8 usiku bahati nzuri kapokea ila kila analo liongea tofauti naninavyo muuliza machale yakenicheaa nikamwambia niambie unanipenda au unikiss sikaaniambia kiluga bahatinzuri wote niluga moja nikamwambia niambie kiswahili sikangoma anazuga sasa nikajakusikia sauti ya mdada anaogea etichumbani umekimbia nini kunakungini alafu unaongea nanai nipe hiyo sm huyu mkaka alishindwa kukatasim ilipitakama dakika 2 akakatasimu nilipigailesm kama call30 hakupokea badae ananipigiacm anacho nieleza simuelewi hapanimechoka na mahari kashatoa mumesimtaki tena kumuona japo ananiambia tuonane je kunajipya hapo eti ;
nisaidieni kwamawazo jamani.
Pole sana mpenz,
Nakushauri utulize akili kwanza,steji mliofikia ni ngumu na ina majaribu mengi sana,
Si kwake tu na kwako pia,
Kabla hujaamua lolote mwombe mungu akuondolee hiyo hasira na chuki uliyonayo moyon then nenda kamsikilize,
Usije ukatoa jibu siku hiyo hiyo coz linaweza kuwa la hasira,jipe mda wa kuyatafakari aliyokwambia kwa kina,
Ikumbuke safari yenu ilipoanzia mpaka mlipofikia sasa,mmepitia mangapi,je hilo kosa linajirudia au ndio limeanza,
Kwa vile ww ndie unamjua mtu wako na atakayo kumbia utajua ni kweli au la,km hutapata majibu sogezen harusi mbele,
Ili upate mda wa kujiridhisha moyo wako naye pia ataona namna ulivyomakini na hauko tayari kuyarisk maisha yako,

NB,Hata km utamwacha huyu na stili una nia ya kuolewa jipange mapema huko ndoan kuna makubwa na machungu zaidi ya hayo na hapatokeki kirahisi.

Mbona akina dada hampeani ushauri mzuri?? Mnafikiri kumwambia mwenzio aachane naye ndo ushauri huo unaoweza kumsaidia??

Mtoa Mada: Nakushauri umtafute mwenzio huyo, ukae naye, uongee nae. Maana huenda siku hiyo "alizidiwa" kidogo.... Jamani msamehe tu bure, tena tangaza tarehe ya harusi haraka, atatulia huyo. Nani kati yenu mnao toa ushauri hamjawasaliti wenzi wenu?? Ambaye hajafanya hivyo, awe wa kwanza kushauri.... Acheni Unafiki akina dada..

Nasisitiza tena, suluhu ni kuongea naye na kuwa karibu naye SIYO kumwacha.
 
Smile bwana, ww ni wa pekee mamito!!!
tatizo na wadada huwa unabweteka mwanaume anakuchumbia miaka minne eti ya nini? ina maana kipindi hicho hutongozwi? na ukitongozwa unajibu nini? mchumba,kishika nyumba au nini? tuweni wajanja invest sehemu hata mbili tatu jamani.mwanamke kutulia ni kwenye ndoa shostisho
wekezeni ohooo
 
kweli mkuu hana jeuri ya kumuacha maana alishachezea muda wake vibaya kwa kujibweteka sehemu moja. ndo ishakuwa hivo avumilie tu maana kwanza hamna mwanaume wa peke yako .hata ni ngumu mwanamke kumhudumia mwanaume peke yako.lazima ukubali kusaidiwa kidogo
 
tatizo na wadada huwa unabweteka mwanaume anakuchumbia miaka minne eti ya nini? ina maana kipindi hicho hutongozwi? na ukitongozwa unajibu nini? mchumba,kishika nyumba au nini? tuweni wajanja invest sehemu hata mbili tatu jamani.mwanamke kutulia ni kwenye ndoa shostisho
wekezeni ohooo
Kwa wanaume wa siku hizi jaman,
Hii pointi yako inaukweli ndani yake kbs,

Inanikumbusha kuna mkaka aliliwa siku ya ukumbini siku ya harusi yake na wadada 2,
Kumbe naye aliinvest kwa wadada 3,na wote aliwavisha pete akaamua kufunga ndoa na 1,bila kuwajulisha wengine,
Wakapata habari watu wako ukumbini waliposhuhudia walishindwa kujizuia walilia kwa uchungu lkn ndio ikawa imekula kwao!!!
 
aahaaa maisha ni haya haya canta,uzuri wa wanaume ni wazuri kukubali matokeo ,hawapendi kulazimisha,wadada ndo wanapenda ujinga huo sasa unaenda kulia ukumbini ili nini? mwanaume unamwambia tu kuna mchumba nimetafutiwa na wazazi nimelazimishwa yaani hata atakusindikiza huko kwa amani kabisa
 
kuchanganyikiwa kubaya,walikuwa hawaamin cjui,ila ndio hivo tuombe mungu aepushie mbali!
 
jamani mm nina mchumba angu ambaye tuko karibu hatua za mwisho sasa alicho nifanya jana nashindwa huelewa niko njia panda....
ilikuwa ivi nilipiga sm usiku wa manane yaani saa 8 usiku bahati nzuri kapokea ila kila analo liongea tofauti naninavyo muuliza machale yakenicheza nikamwambia niambie unanipenda au unikiss sikaaniambia kiluga bahati nzuri wote niluga moja nikamwambia niambie kiswahili sikagoma anazuga sasa nikajakusikia sauti ya mdada anaogea" etichumbani umekimbia nini kunakunguni, alafu unaongea nanai. nipe hiyo sm" huyu mkaka alishindwa kukata sim ilipita kama dakika 2 akakatasimu nilipiga ile sm kama call30 hakupokea badae ananipigia cm anacho nieleza simuelewi. hapanimechoka na mahari kashatoa mume simtaki tena kumuona japo ananiambia tuonane je kunajipya hapo eti ;
nisaidieni kwamawazo jamani.

Pole sana ndugu yangu.
ila kwa ushauri wangu mi naona huyo mwanaume hayuko serious. Najaribu kuimagine kama wewe ni mchumba na ameshatoa mahali, ningefikiri ya kuwa if he is cheating then the other woman atakuwa anajua kuhusu wewe. lakini kwa maelezo yako inaonyesha hata huyo mwanamke mwingine hajui kama unaexist (ina maana jamaa hajafanya maamuzi)

Kuna watu naona wanasema go ahead ufunge ndoa maana wanaume wote ndivyo walivyo! well that is not true, I believe wapo wanaume waaminifuna wasio wadhalilishaji. Kwa mwanaume mwenye msimamo na mapenzi hata kama anacheat then he will make sure everyone knows wewe ndio mwenyewe.

siku zote nasemaga, sis wanawake huwa tunakubali kuolewa na wanaume wenye mapungufu kama haya hali tukijua kabisa tabia zao mbaya way before we get married, alafu tukiingia kwenye ndoa tunaanza kulialia. well ukiamua kuolewa na mtu wa aina hii inabidi uwe mvumilivu na usitegemee kuwa he will change.

ni hayo tu. pole sana ndugu yangu.
 
Mbona akina dada hampeani ushauri mzuri?? Mnafikiri kumwambia mwenzio aachane naye ndo ushauri huo unaoweza kumsaidia??

Mtoa Mada: Nakushauri umtafute mwenzio huyo, ukae naye, uongee nae. Maana huenda siku hiyo "alizidiwa" kidogo.... Jamani msamehe tu bure, tena tangaza tarehe ya harusi haraka, atatulia huyo. Nani kati yenu mnao toa ushauri hamjawasaliti wenzi wenu?? Ambaye hajafanya hivyo, awe wa kwanza kushauri.... Acheni Unafiki akina dada..

Nasisitiza tena, suluhu ni kuongea naye na kuwa karibu naye SIYO kumwacha.

well men dont change that easily, labda waamue wenyewe tu. Unless kama yuko tayari kuishi na cheater for the rest of her life, then aolewe nae buy do not expect him to change overnight
 
Sasa na wewe usiku wa manane hulali? ona sasa sasa usajitia mipresha bure. nini kilicho kutuma kupiga simu usiku wote huo kama si uchokozi tu, kama ulim mis kwani kusingekucha? au kama ulikuwa unampenda sana si ungeenda kulala kwake wewe.

Alafu na wewe mwanaume unajua mchumba ako anawivu na hii itakuwa si mara yake ya kwanza kukupigia simu usiku, sasa wewe unaiba alafu una acha simu on, next time ukiwa unaiba ukumbuke kuizima, akikuuliza mwambie iliisha moto ulikuwa unaicharge.
 
Hii siyo kweli waaminifu wako tu but uaminifu nje ya kumcha Mungu ni ngumu,ni jambo baya sana kuoana na mtu asiye mwaminifu Zimwi la ukimwi ni ngumu kulikwepa heri kutoolewa kuliko kuolewa na mtu ambaye unajua roho yako itakuwa mkononi kila siku,na hata ukitaka kuendelea kuoana naye mkapime kwanza ngoma mengine baadaye.
HAPANA kwa herufi kubwa hakuna mwaminifu ...ila km MAMA D alivyosema hapo juu ,viwango vinatofautiana tu basi.
nalog off .source;washawasha.
 
Back
Top Bottom